Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Mungu ni mwema kwa hii zawadi ya rais tuliyopata
Leo Kuna radio inaitwa T K Fm inatangaza katika masafa ya 88.5 Tanga. Hawa jamaa nilisikiliza hotuba ya mwisho bungeni ya mh rais Magufuli, wao walikuwa wanamdhihaki rais (kwa mtazamo wangu) maana walikuwa wanafanya baadhi ya maneno kusikika Kama kikatuni saa nyingine kufanya yaongee harakaharaka Kama bwakila vile.

Hawa jamaa wahojiwe kwanini walikuwa wanamdhihaki rais wakati anahutubia bunge na taifa kufanya sauti Yake Mara kwa Mara isikike Kama katuni.
Baada ya hotuba sauti ziliendelea kusikika Kama kawaida tu.
 
Reactions: T11
Kuhusu mataifa mengine kumuiga hatua za corona nazo utakataa

Kuhusu Trump kuzungumza alichozungumza Magufuli utakataa?

Kama hawamfuatilii wanatumiaje hagua zake?

Coincedence?

Muachage undezi, nje wanamkubali wewe unamkataaje
Mkuu wamarekani Kama hujawasoma katikati ya mistari ni ngumu kuwaelewa,unaweza kudhani wanakusifu wakati wanakuponda
 
Mkuu wakati Magufuli anahutubia Washington DC ilikuwa usiku wa manane, kwa hiyo unasema Trump aliamka kusikiliza hotuba toka nchi iliyopo kwenye group la shithole,nchi ambayo rais wake anasema nchi haina corona wakati huo huo akishangilia kusamehewa madeni sababu ya corona
 
UFINYU wako wa akili ndipo ulipoishia hapo. Dikteta kasema kachoka kazi ni NGUMU SANA na ina MATESO MAKUBWA sasa inakuwaje tena ang’ang’ane na kazi ILIYOMZIDI KIMO? πŸ€”


Angekuwa Lissu na habari zake za mapenzi ya jinsia moja ungekubaliana nayo
 
Umaarufu wake kwa kuficha visa vya corona unajulikana duniani kote na pia kwa kuwavunja wapinzani miguu nako anajulikana sana.
 
Mimi sijakujibu kuhusi idadi ya wasikilizaji, umehoji kuhusu Kama kaongea kiingereza ndo nikakujibu unafikiri watu wote duniani wanaongea kiingereza? Hapo ndo niliona upeo wako finyu Sana maana hata ujerumani Angel markel anaongea kijerumani.
mantiki ya swali langu halikuvuka upande huo unaofikiria wewe (labda nipo kwenye upande wa dhihaka),

hotuba haifanani na muziki ambao si lazima ufahamu kinachoongelewa ndani ya dakika 3 hadi 10 bali mdundo wake unaweza kukuhamisha dunia nyengineyo.

lugha yetu ya kiswahili haijawa na sifa kubwa sana duniani kama lugha nyenginezo mfano english, france hivyo basi si jambo rahisi kwa watu millioni 600 duniani kufuatilia live hotuba inayowasilishwa kwa njia ya kiswahili kwa zaidi ya masaa mawili bila ya kufahamu wala kuburudika na chochote.

ndio maana nikauliza kwa moyo safi kabisa, kwani amezungumza kwa kiingilishi.
bahati mbaya umekuja na majibu ambayo hayaendani na username yako
 
Kwa hiyo hii habari ni ya kweli? Kwa miaka yangu ambayo nimekaa hapa JF sijawahi kuona habari ya uongo ikifikisha kurasa mbili kabla mods hawajaifuta ndio maana JF siku zote ilikuwa ni tegemeo la habari za uhakika. Kitu kilikuwa kikiletwa hapa JF na kikabaki kwa dakika kumi basi unafahamu kwa uhakika kwamba hiyo habari ni ya kweli. Mods walikuwa hawana mchezo na habari ambazo hazina uhakika; walizifyeka mara moja. Naamini hali ndivyo ilivyo hata sasa na kwa maana hiyo niamini kwamba kilichoandikwa hapa ni cha ukweli 100%.
 
Reactions: BAK
Mkuu kile kilikuwa kiswahili au kisukuma?
 
Kutokana na takwimu za serikali viwanda 8000 vimeanzishwa katika awamu hii,huu ni wastani wa viwanda karibia 300 kila mkoa...ukinitajia viwanda kumi tu vilivyoanzishwa katika mkoa wako nitaamini kweli kuna viwanda 8000 vipya hii nchi
Ni kazi ngumu Sana hii unayoitaka kwangu mkuu! Yaani niache kazi zangu, nianze kuzungukia mkoa mzima kuhesabu viwanda vilivyojengwa? Kama huwaamini waliosema, basi usiamini pia na ndege mpya 11 zilizonunuliwa!
 
Twende mbele na kurudi nyuma
Kuna watu wanastahili pongezi nyingi sana, wamefanya kazi kubwa sana kumfanya magu awe presentable.

Yaani mwaka 2015 hakuwa kabisa na ule muonekano wa kiongozi mkuu wa nchi.
Mawazo yako, tuliomjua Magu mapema sana tuliona nuru na kumpa kura

Sent from my SM-A520F using JamiiForums mobile app
 
Mwanafunzi wa yesu wa Lugola,, punguza mahaba...!![emoji23]
 
Ndugai ameweka historia ya kuongoza la hovyo mno na dhaifu kuliko yote tangu tupate uhuru.
 
Mkuu kipaji unacho! Yaani ukijoin group la Vichekesho, utapiga hela Sana. Maana kwa hiki kichekesho chako [emoji2] mi umenivunja mbavu!

Kila la kheri kaka, katika kukitumikia kipaji chako Cha uchekeshaji!
 
Mkuu huko mitandaoni mliweka wakalimani? Au watu wote hao uliowataja wanaelewa kisukuma alichokuwa anaongea Magufuli?
Alimuelewaje aliposema tuichukulie kama surua?

No wonder jina lako linasadifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…