Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Leo Kuna radio inaitwa T K Fm inatangaza katika masafa ya 88.5 Tanga. Hawa jamaa nilisikiliza hotuba ya mwisho bungeni ya mh rais Magufuli, wao walikuwa wanamdhihaki rais (kwa mtazamo wangu) maana walikuwa wanafanya baadhi ya maneno kusikika Kama kikatuni saa nyingine kufanya yaongee harakaharaka Kama bwakila vile.Mungu ni mwema kwa hii zawadi ya rais tuliyopata
Hawa jamaa wahojiwe kwanini walikuwa wanamdhihaki rais wakati anahutubia bunge na taifa kufanya sauti Yake Mara kwa Mara isikike Kama katuni.
Baada ya hotuba sauti ziliendelea kusikika Kama kawaida tu.