Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Kabisa Mkuu na ndiyo sababu Askofu Bagonza aliposema idadi ya wapumbavu nchini imeongezeka sana ukilinganisha na wakati tuna Chuo Kikuu kimoja tu nchini na sasa ambapo tuna vyuo vikuu chungu nzima. Hii negative trend ya kuongezeka kwa vyuo na kuongezeka kwa WAPUMBAVU inashangaza sana.

Hawa utumia propaganda ili kunasa akili za mateja.
 
Leo Kuna radio inaitwa T K Fm inatangaza katika masafa ya 88.5 Tanga. Hawa jamaa nilisikiliza hotuba ya mwisho bungeni ya mh rais Magufuli, wao walikuwa wanamdhihaki rais (kwa mtazamo wangu) maana walikuwa wanafanya baadhi ya maneno kusikika Kama kikatuni saa nyingine kufanya yaongee harakaharaka Kama bwakila vile.

Hawa jamaa wahojiwe kwanini walikuwa wanamdhihaki rais wakati anahutubia bunge na taifa kufanya sauti Yake Mara kwa Mara isikike Kama katuni.

Baada ya hotuba sauti ziliendelea kusikika Kama kawaida tu.
Alikuwa anahutubia Taifa gani hilo la gamboshi au la ajira million 6 zisizojulikana?
 
Nitajie donor country moja tu isiyo na madeni, ingawa ni kweli kwamba, Kwa Wakati tuliopo Pengine na miaka kadhaa ijayo Tanzania haiwezi kuwa donor Kwa sababu ya vitu vingi tu, lakini madeni ya nchi si kigezo cha nchi kushindwa kuwa donor country,

Kuhusu uwongo wa takwimu, ni vizuri tukaacha kutumia ongezeko la deni la Taifa kuwa kigezo cha kupika takwimu, takwimu huenda kuwa zinapikwa, uhusiano wa deni na kupikwa Kwa takwimu zinaoanaje, ikiwa hata big Country zinamadeni chungu mzima na Uchumi ukizidi kukua
Mkuu umeruka ruka bila kujibu swali langu...mapato ya ndani yameongezeka,rais anasema tunajenga miradi yetu kwa pesa zetu wenyewe...swali ni je kwanini deni la taifa linaongezeka???
 
Ujue taarifa kama hii Iliwahi kumuingiza matatizoni Gabriel Zacharia, yule msingida wa TBC. Alikurupuka na li habari la Trump kumsifu Jiwe kumbe wahuni wamelitengeneza akalitangaza kwenye taarifa ya habari. Almanusura Ayoub Ryoba azae nae.
 
Kifaa.jpg
 
Amesoma kisasa Ametumia teleprompter
Wasaidiz wake wanahangaika kweli wanapomuona Trump akiwa paper less ndiyo maana wakatafuta.

Trump akiwa kwenye Bunge hatumii teleprompter bali karatasi lkn wenzetu kule nje na dhifa zá serikali hawatumii au zimefika wiki iliyopita.

Lkn wameipandisha hapa ili wajisifu hawa kina Msigwa ni shida.
 
Sure anamjua Magufuli. Tena ile mbaya!

Kama RC Makonda na familia yake wanajulikana kwa Trump mpaka yeye personally kutoa amri ya kumfungia Makonda na familia yake kutoingia Amerika, utasemaje juu ya mtu aliye mweka Makonda madarakani? Umesha lisahau sakata lile?

Wenzako wanahaha huko waliko. Wanatafuta kila njia ya kumwondoa Mwanamme wanashindwa. Walifikiri wakitumia media zao na makachero wao akina Mange Kimambi, Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Gadhbett Ngurumo na wengineo wangeweza kirahisi kutupa sisi panic, thubutuuu!

Hawaelewi kuwa kwa kufanya hivyo mambo mabaya yanawatokea wao wenyewe. Coronavirus na George Flowed limekuwa pigo kwa Trump. Hii ni ishara kuwa sisi watanzania ndiyo wana Mungu na sio waisrael kama inavyo sadikika. Sisi tunalindwa na nguvu za kutoka juu.

Na arudie tena kuisakama Tanzania atakiona cha mtema kuni. Anacheza na maisha ya watu wa Taifa lililobarikiwa na Mungu? Na akome!

Waza kwanza kabla ya kutoa comment yako!




Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiiiiiih nimecheka hadi basi khaaaaah, ila inasikitisha kwakweli. Duuuuh hatareee san.
 
Kabisa Mkuu na ndiyo sababu Askofu Bagonza aliposema idadi ya wapumbavu nchini imeongezeka sana ukilinganisha na wakati tuna Chuo Kikuu kimoja tu nchini na sasa ambapo tuna vyuo vikuu chungu nzima. Hii negative trend ya kuongezeka kwa vyuo na kuongezeka kwa WAPUMBAVU inashangaza sana.
Yes Hadi tunageuzwa geuzwa kwa propaganda utadhani sote ni mateja,watu wanaona fact,ajira 6milioni du usingeona vijana wanabeba bahasha za khaki.

Tembea tu posta dar, kariakoo ofisi nyingi zimefungwa,nyingi zinapangishwa Hakuna wateja, usomeshe watu namba ili uwatawale then ajira ziongezeke, labda Kama kuna principal mpya ya uchumi.Tasfiri ya neno namba ni kupunguza au kuondoa idadi ya ajira Sasa hizo zinapandaje sasa
 
Kutokana na takwimu za serikali viwanda 8000 vimeanzishwa katika awamu hii,huu ni wastani wa viwanda karibia 300 kila mkoa...ukinitajia viwanda kumi tu vilivyoanzishwa katika mkoa wako nitaamini kweli kuna viwanda 8000 vipya hii nchi
Mataga hana data
 
Back
Top Bottom