Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Babu anakohoa shida nini
Daaahwaliojikarantini…..ni wadhaifu, waoga na hawajiamini,,,
Sawa doktaHicho sio kikohozi cha kubana hewa, ni kikohozi cha kuumwa. Kina muda sasa toka akiwa Chato.
😂😀😂Ni kweli sijui, ila akikohoa ninaona.
Dhalim mwongo sanaLeo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja.
Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika