Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Ila nasikia kwenye swala la "T-shirt" hata wale wengine walishangilia sanaaa.
 
Dhalim mwongo sana
 
Uongo mtupu!

Sasa kwa nini leo kuna mamilioni ya vijana wasio na ajira wala kipato?
Hivyo viwanda ilikuwa propaganda za kitoto za miaka ya 60.

Ilikuwa propaganda propaganda propaganda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…