Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Uongo mtupu!

Sasa kwa nini leo kuna mamilioni ya vijana wasio na ajira wala kipato?
Hivyo viwanda ilikuwa propaganda za kitoto za miaka ya 60.

Ilikuwa propaganda propaganda propaganda tu.
Jiwe alikuwa muongo na mwizi hajawahi toka nchi hii
Tapeli aliewashika akili wasiojitambua
 
Katika viwanda, tumejenga viwanda vipya 8,477 vikiwemo Viwanda vikubwa 201, vya Kati 460, Vidogo 3,406 na vidogo sana ni 4,410 - Hii imeongeza idadi ya viwanda nchini kutoka 52,633 kwa mwaka 2015 hadi viwanda 61,110 katika mwaka 2020
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Dunia ni mapito!

Tuzidi kuwaombea wote waliotangulia mbele ya haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…