Ukishapokea hivyo virushwa baadaye utamlalamikia mtoaji kuwa hakuletei maendaleo?Watanzania hebu tuwe wakweli,Sisi wenyewe tunapokea rushwa tukishangilia halafu tunalalamikia ufisadi wa watawala?Mara nyingi wagombea watoa rushwa za T Shirt,kofia,kanga,madera,sukari,chumvi,pombe au ugoro tunawafahamu ni wa chama cha zamani lakini bado tunawapa uongozi miaka nenda rudi,nao wamewazoea na wanauhakika mtawachagua tena na tena hata msipotaka tens kwa kishindo.Bora livunjwe warudi majimboni angalau na sisi raia tupate hizo rushwa ndogo ndogo kama pilau, pesa za ugoro,kofia na mengineyo maana tumezi 'miss' kwa muda mrefu.😂😂😂
Mzee wameanza kurusha live?Namuona hapa IGP Simon siro anaingia hapa mambo ni moto
Saa tatu baada ya hapo atahutubia na alichofanya tangu aapishwe kuwa raisSangapi event itaanza mkuu
Athari gani tena hakuna kitu kwani wasipohudhuria kuna posho zao kuzuiwa, watakuja wasaini kuingia baada ya muda mmoja mmoja atatoka nje na kuishia zake siku itakuwa imetoka hiyo. Mema yapi aliwafanyia ili wahudhurie kuisikiliza hotuba yake, ubaya wake ndio utamfanya achukiweIkumbukwe kuwa hotuba ya kwanza ya Mh. Raid Bungeni wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao hawakuhudhuria. Nakumbuka Mh. Kabwe ni baadhi ya wabunge wachache ambapo walibaki bungeni ili kusikiliza hotuba hiyo.
Leo Mh. Raid analivunja binge, swali ni Je wabunge hao wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA wataingia bungeni...? Je wasipoingia kuna athari gani kwao?
Tusubilie.......
Wananchi wanawaona na leo Taifa zima macho yao yote yapo Dodoma.Athari gani tena hakuna kitu kwani wasipohudhuria kuna posho zao kuzuiwa, watakuja wasaini kuingia baada ya muda mmoja mmoja atatoka nje na kuishia zake siku itakuwa imetoka hiyo. Mema yapi aliwafanyia ili wahudhurie kuisikiliza hotuba yake, ubaya wake ndio utamfanya achukiwe
Yawepo tu, hata wao wananchi wanajua matendo yake ya kila siku na huwa wanaona vurugu zake kila kukichaWananchi wanawaona na leo Taiga zima macho yao yote yapo Dodoma.
Mimi nisingelikwenda, kusikiliza nini?Ikumbukwe kuwa hotuba ya kwanza ya Mh. Raid Bungeni wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao hawakuhudhuria. Nakumbuka Mh. Kabwe ni baadhi ya wabunge wachache ambapo walibaki bungeni ili kusikiliza hotuba hiyo.
Leo Mh. Raid analivunja binge, swali ni Je wabunge hao wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA wataingia bungeni...? Je wasipoingia kuna athari gani kwao?
Tusubilie.......
Hahaha...najiamini mkuu, niko field na ninaiona hali halisi ilivyo, CHADEMA ikipambana sana ni mbunge mmoja tu.Hiyo ID kuanzia mwezi November utaibadilisha
Akili nyingie za ajabu sana kama unasema tusubilie sasa ukikuwa unamuuliza nani?Ikumbukwe kuwa hotuba ya kwanza ya Mh. Raid Bungeni wabunge wa vyama vya upinzani wengi wao hawakuhudhuria. Nakumbuka Mh. Kabwe ni baadhi ya wabunge wachache ambapo walibaki bungeni ili kusikiliza hotuba hiyo.
Leo Mh. Raid analivunja binge, swali ni Je wabunge hao wa vyama vya upinzani hususani CHADEMA wataingia bungeni...? Je wasipoingia kuna athari gani kwao?
Tusubilie.......
Tukio lipo hewani angalia tv muda huu anasubiliwa makamu wa raias wa jmtUmeandika mambo mengi muda wa tukio hujaweka!.
Mkwawa alienda masomoni hivyo erasto mang'enya alishika kwa muda huo baada ya mkwawa kumaliza masomo akaendelea na uspika mpaka alipostaafu na kumuachia msekwa 1994Kwenye list ya maspika umekosea sequence kidogo.
(1) Abulkarim Karimjee -Mpaka 1962
(2) Adam Sapi Mkwawa- 1962- 1973
(3) Erasto Mang'enya- 1973- 1975 (Sikumbuki ni nini kilichomfanya Mkwawa aache gap hili)
(4) Adam Sapi Mkwawa - 1975- 1994
(5) Pius Msweka - 1994- 2005
(6) Samwel Sita - 2005-2010
(7) Anna makinda- 2010-2015
(8) Job ndungai - 2015-2020