Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Huyu mzee ovyo sana! hakuna kitu ulichofanya wewe, hayo ni matakwimu yakwenye makaratasi tu hali halisi huku mitaan hakuna hayo anayoyasema!
 
Nacheki hapa Mkulu akitoa hotuba ya kufunga Bunge. Najaribu kuangalia kwa umakini hizi takwimu anatema kama anasoma mahali,sioni kwa kweli au ni mimi tu?Mr President ni hatari kwenye kumeza maandishi walah..makofi kwake tafadhali.
Hapo kwenye takwimu nami nina mashaka napo sana
 
Huyo ni geneus mkuu alizoea kumeza equations za chemia na physics aje ashindwe kumeza propaganda za siasa kweli..

#the best president in Africa.. viva JPM
Kweli kbs na kuna watu inawauma sana. 😀
 
So what? kwani hujui maana ya janga? nani kakueleza watanzania hatujui kama tuko kwenye janga na hali ni mbaya sana? Magufuli ndo aloleta Covid-19? upuuzi mtupu, endelea kupiga ramli na kuwanga huenda utafanikiwa.
Tatizo ni kwamba,hakuna fedha zilizoidhinishwa na bajeti kwa ajiri ya kufufua uchumi kutokana na athari za janga la corona.
Unalielewa hilo?
 
Ripoti ya Global Peace Index ya mwaka 2020, imeonyesha Tanzania ni ya kwanza kwa Afrika Mashariki na ya 7 kwa nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara kwa kuwa na amani na utulivu.Hii ni nzuri sana kwa nchi yetu...
 
Kweli nimeona mkuu asante,ila naona anapata 'hints' kdg huko then anaflow.
Kubali tu kuwa anasoma na yeye siyo mtu wa kwanza kusoma hotuba kwenye hiyo device viongozi karibu wote wakubwa duniani wanafanya hivyo. Magufuli akiwa hasomi unamuona hapa anasoma unaona jinsi alivyo na mtililiko atakapoanza ongea freely utaona.
 
Hata mimi nilidhani amemeza takwimu kumbe anasoma
 
Nacheki hapa Mkulu akitoa hotuba ya kufunga Bunge. Najaribu kuangalia kwa umakini hizi takwimu anatema kama anasoma mahali,sioni kwa kweli au ni mimi tu?Mr President ni hatari kwenye kumeza maandishi walah..makofi kwake tafadhali.
Kwenye kumeza na kutema yupo vizuri,Sasa ije issue inayohitaji akili au suala la kuzifanyia analysis na kutoa conclusion and way forward hapo ndo utajua kuwa kweli jamaa yetu ni mwalimu
 
Huyo ni geneus mkuu alizoea kumeza equations za chemia na physics aje ashindwe kumeza propaganda za siasa kweli..

#the best president in Africa.. viva JPM
Naona teknologia imewapita pembeni. Huyo anasoma hawezi kukariri hotuba inayochukua zaidi ya saa moja. Angalia vizuri utaona.
 
Nacheki hapa Mkulu akitoa hotuba ya kufunga Bunge. Najaribu kuangalia kwa umakini hizi takwimu anatema kama anasoma mahali,sioni kwa kweli au ni mimi tu?Mr President ni hatari kwenye kumeza maandishi walah..makofi kwake tafadhali.
yeah right...

Daniel alimezwa na samaki
Saddam Hussein rais wa Kuwait
Gaddafi rais wa Tunisia

atawazuga misukule wa MATAGA tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…