Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Anameza sababu kazitunga yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli nimeona mkuu asante,ila naona anapata 'hints' kdg huko then anaflow.Mkuu anasoma hotuba hicho kioo unachokiona mbele yake kinaitwa teleprompter ye anaona hotuba pale anasoma walioko nyuma hawaoni hebu tazama macho yake muda wote yametazama hicho kiooView attachment 1480264View attachment 1480265
Hapo kwenye takwimu nami nina mashaka napo sanaNacheki hapa Mkulu akitoa hotuba ya kufunga Bunge. Najaribu kuangalia kwa umakini hizi takwimu anatema kama anasoma mahali,sioni kwa kweli au ni mimi tu?Mr President ni hatari kwenye kumeza maandishi walah..makofi kwake tafadhali.
Kweli kbs na kuna watu inawauma sana. 😀Huyo ni geneus mkuu alizoea kumeza equations za chemia na physics aje ashindwe kumeza propaganda za siasa kweli..
#the best president in Africa.. viva JPM
Ndio maana hotuba ipo katika mtiririko...Leo ana teleprompter
Tatizo ni kwamba,hakuna fedha zilizoidhinishwa na bajeti kwa ajiri ya kufufua uchumi kutokana na athari za janga la corona.So what? kwani hujui maana ya janga? nani kakueleza watanzania hatujui kama tuko kwenye janga na hali ni mbaya sana? Magufuli ndo aloleta Covid-19? upuuzi mtupu, endelea kupiga ramli na kuwanga huenda utafanikiwa.
Kuna watu kazi yao ni kusifu tu hata kama hawajui wanachokisifu..Unaona hicho kiio kimewekwa hapo mbele yake .... kina kazi yake ..wacha kukurupuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kubali tu kuwa anasoma na yeye siyo mtu wa kwanza kusoma hotuba kwenye hiyo device viongozi karibu wote wakubwa duniani wanafanya hivyo. Magufuli akiwa hasomi unamuona hapa anasoma unaona jinsi alivyo na mtililiko atakapoanza ongea freely utaona.Kweli nimeona mkuu asante,ila naona anapata 'hints' kdg huko then anaflow.
Kwenye kumeza na kutema yupo vizuri,Sasa ije issue inayohitaji akili au suala la kuzifanyia analysis na kutoa conclusion and way forward hapo ndo utajua kuwa kweli jamaa yetu ni mwalimuNacheki hapa Mkulu akitoa hotuba ya kufunga Bunge. Najaribu kuangalia kwa umakini hizi takwimu anatema kama anasoma mahali,sioni kwa kweli au ni mimi tu?Mr President ni hatari kwenye kumeza maandishi walah..makofi kwake tafadhali.
Huoni hapo anaposoma??Mh Rais kichwa kweli kweli, anatoa takwimu bila kusoma popote
Naona teknologia imewapita pembeni. Huyo anasoma hawezi kukariri hotuba inayochukua zaidi ya saa moja. Angalia vizuri utaona.Huyo ni geneus mkuu alizoea kumeza equations za chemia na physics aje ashindwe kumeza propaganda za siasa kweli..
#the best president in Africa.. viva JPM
yeah right...Nacheki hapa Mkulu akitoa hotuba ya kufunga Bunge. Najaribu kuangalia kwa umakini hizi takwimu anatema kama anasoma mahali,sioni kwa kweli au ni mimi tu?Mr President ni hatari kwenye kumeza maandishi walah..makofi kwake tafadhali.
wewe ndio angalia kwa umakini. Unataka uone makaratasi ndio ujue anasoma???Hasomi mkuu, Angalia kwa umakini