Bungeni Dodoma: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akosa Mbunge wa kumuuliza swali la papo hapo

Ndugaye kuruhusu bunge la bongo kuwa live atakuwa anajianika madhaifu yake man mwenyewe tayari ameyumba.
 
wapo hawa watauliza! Kama wameushinda UVIKO kwa kuchanganya tangawizi , malimao , na nanasi unatarajia nini?
 
KABURI linamsuta mbakaji wa demokrasia, kuna walokole bungeni wanapokea mishahara michafu kwakuwa wanajua kabisa hawakushinda, wakianza na AMFILILO, bi tukinao, mzee wa kiupiga rungu na wengine wengi.
 
Wabunge wamekuwa kama wanafunzi wa santi kayumba, mwenye swali....wanatoa macho tu, mmeelewa? wanatoa macho tu, hamjaelewa? Wametoa macho tu...
 
Bwashee naona kama vile unabadili gia angani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…