Ni kampuni ya kuchakata nyama ya yule mdudu!Kwani hiyo ndio nini !? Au ni kampuni ya mafisadi (F.U.C.K Y.O.U) iliyosamehewa kodi na imetajwa CAG !?
Bungeni kuna matusi mengi tu na mengine wanatoa hao ambao unawataka waratibu maandamano.
Wamalizane tu huko huko bungeni, wakumbuke tu kuwa wananchi wanataka maendeleo wakishamaliza kutukanana.
Bado unasubiri? Ndo ishatoka hiyo....kama nilimwelewa, Makinda alisema mbunge akitukana anaita polisi na sio ataita!! I don't believe kama haya mambo yanatokea kutoka kwa watu wazima!!
MKuu kweli aisee umekasirika kweli kweli.....kiburi hiki kinaletwa na mfumo waliojiwekea kuwa wakiwa bungeni ni kuwapinga tu Chadema....ndio sera yao....na mama spika kazi yake kawekwa pale kuzima kila hoja inayotoka kwa wapinzani.....Matusi ya Serukamba yanazungumza mengi kuhusu kiburi cha wabunge wa CCM pamoja na chama chao. Bunge ni moja kati ya mihimili mitatu ya taifa letu. Na ni wajibu wa kila mbunge kuheshimu nafasi hiyo adimu wananchi waliompatia. Kitendo alichofanya Mpumbavu (siwezi kutumia neno Mheshimiwa kwa mtu kama huyu) Serukamba ni kitendo kinachomzalilisha yeye mwenyewe, Chama Chake na mbaya zaidi wananchi waliomchagua. Wakati umefika kwa Wabunge CCM kuja mbele na kukemea matusi ya Serukamba! Kama hawatafanya hivyo basi wananchi hatutofautisha wao na Mpumbavu Serukamba.
There's no way you can justify this, absolutely, NO WAY! Bungeni? Huku ukifahamu fika kwamba kuna watu all over the country wanasikiliza na wengine kuangalia LIVE? Unjustifiable aisee!Inategemeana na mazingira, kama unaongea point halafu mtu anakuja na pumba badala ya mchele kwa nini asimbulie tusi japo kidogo? Under similar circumstances we would just be like him..! Its only a fool who condemn, blame and complain..!
Nasikia kasema fwaki yuu ndani ya ukumbe wa bunge. Vp kisha bebwa na Kova?
Nimeshangazwa sana na Serukamba,, amesema COME ON FU*K YOU...
Nilikuwa sijaangalia bunge 2013 na leo imetokea kwa bahati mbaya but sirudii tena kuangalia bunge. Mbaya zaidi kavaa suti na ni jana tu Spika alisema atawakamatisha polisi. Wapi tunaenda jamani mbunge mwenye zaidi ya miaka 7 bungeni kusema F*CK YOU bungeni
Kasema f.a.k.y.u da!c walisema ukitukana wanaita polisi ngoja tuone ccm bana
"Unaliwa uroda" mkuu,nimetumia tafsida hapo!!!Hebu wataalam kizungu watusaidie kuliweka kwenye kiswahili sie wa shule za kata. Taratibu zinazingatiwa
MKuu kweli aisee umekasirika kweli kweli.....kiburi hiki kinaletwa na mfumo waliojiwekea kuwa wakiwa bungeni ni kuwapinga tu Chadema....ndio sera yao....na mama spika kazi yake kawekwa pale kuzima kila hoja inayotoka kwa wapinzani.....
MATUSI TENA?? NAULIZA KUNA AIBU YA MATUSI TENA BUNGENI DODOMA KWELI???????
...... Kwa mtaji wa matusi mazito kiasi hiki tena siku moja tu tangu Mhe Spika kutoa onyo kwa taasisi hiyo ya kikatiba; sasa ni wazi zaidi kwamba hakika KUNA TATIZO KUBWA MNO KWA WAWAKILISHI WETU hawa.
Ama kweli pengo la Mh Samuel Sitta, mzee wa standards and speed, sasa ni dhahiri zaidi kuliko hapo jana. Hakika hadi hivi sasa wananchi tunapata picha mbaya sana tena sana toka bungeni Dodoma kinyume kabisa na matarajio jamii yetu zima na hasa watoto wa taifa hili.
Ila fundisho tunalopata ni pamoja na kufanya mageuzi yafuatayo kipindi kijacho, katika mchakato wa kupitisha mtu kugombea kiti cha ubunge, ili kunusuru taifa na fedheha kama hizi:
1. Kufanya thorough background check kwa mwombaji kwa kufuata taratibu za wazi;
2. Kupandisha zaidi VIWANGO VYA ELIMU vinavyohitajika kukidhi kwanza ili kuwa mbunge;
3. Mafunzo kwa wabunge kuhusu ubunge, majukumu yaliomo, na matarajio ya umma;
4. Siku za usoni Spika sharti awe na misingi ya taaluma ya sheria ili kukirejeshea nafasi hii ya kitaaluma heshima yake stahiki;
5. Kosa lolote la kinidhamu bungeni lifike mahala litafune 1/4 pato la mbunge walau kwa kipindi cha siku 90 tangu kosa kutendeka (kwa utaratibu huu kutajitokeza uhiari wa kuonyesha nidhamu bungeni).
Lusinde a.k.a Kibajaj ni Laana yule; we ushaona mtu anajisifu ni kiboko wa matusi mbele ya kadamnasi?!Umesahahu ya Lusinde, lakini heri yeye alifanyia jukwaani.