Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Wewe mwenyewe tayari umeshatukana matusi makali wakati unamkosoa huyo Serukamba.Unamaana watanzania wote walioichagua CCM ni wahuni?Hiyo moral authority ya kumnyooshea huyo jamaa kidole huna kwa vile na wewe ni sawa na huyo jamaa.acha kufariji Chama Cha Matusi,nambie mpinzani alowahitoa tusi kubwa ivyo..nadhani ni mbunge wa kwanza toka chama cha wahuni mafisadi..ndo mmeendelea kujimaliza
Pia alitaka matusi yasitolewe na upinzani pekee ila chama chetu makini ruksaLabda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Kwa hali inayoendelea sasa, Bungeni si mahala salama tena, si tu kwa watoto bali hata kwa watu wazima waungwana!Mkuu NasDaz, ukitaka kuamini, Chukua wale watoto wa primary, uwapeleke bungeni Dodoma, kama kawaida bi kiroboto, atakutambulisha na kusema, waliopo kwenye Spika galary ni wageni wetoto watoto wa shule ya msingi..Bunge Dar, ni jirani zetu, wamekuja kwa MAFUNZO na wameletwa na NasDaz.
Kisha mtasimama, baada ya dakika kumi, watoto wataanza kulia na kutoa... watoto wote watakimbia na kuanza kukupiga,
Mkuu, Ilitoke watoto wapo Bungeni-mafunzoni- walimuona Wassira akijibu hoja- alijibu kwa ukali sana, mpaka watoto wakaogopa...
Hivi hili neno kwa kiswahili latamkwaje? kilugha zingine ni
Kispanyola- vete a la mierda
Kichina - 你他妈的
Kidenish ----- dig
Kifilipino - magkantot sa iyo
Kifaransa - va te faire foutre
Kijerumani - fick dich
Kigujarat - તમે વાહિયાત
Kitaliano - vaffanculo
Kijapani - 性交
Kinorwiji - knulle deg
Kirusi - пошел на хуй
Kispanishi - vete a la mierda
Kiswidi - knulla dig