WanaJf,leo sa 6.30 asubuhi,kumetoka mambo ya ajabu sana ktk bunge . Kitendo cha bunge letu kuendelea kutumia lugha chafu si tu tutavumilia upuuze huu. Mh naibu spika, maana ya mh peter serukamba kutukania maneno F..uc -k--- YOU kwa wabunge wengine mbele ya kamera ya Tbc1 ndo nini jamani?tunajenga taifa la aina gani?wabunge woote kama hamtaacha upuuzi huu kwa kweli hatutavumilia sisi wananchi wenu. Rais wetu,bunge likishindikana,livunje kuanza upya si ujinga.
Sina hakika kama mwaka 2015 mtazikumbuka hizo kumbukumbu.kwa sasa tunayaweka kwenye kumbukumbu kwa matumizi ya baadae ..
Waliposema lisionyeshwe live walikuwa na maana kubwa sana walijua sasa wamezidiwa kilicho baki ni kuwatukana chadema sasa mimi najiuliza kama mbunge wangu lema katukanwa nae kawa mpole kweli..mkuu nisaidie namba ya huyu msene nilipize haiwezekani....Jamani bunge hili lenye wabunge hawa wa ccm nilakuangalia chumbani kwa siri kubwa watoto wetu wasifundishwe matusi.
Bunge hili la serikali ya ccm lina tofauti gani na program inayohitaji parental control??
Kwa nini wabunge wa ccm wameamua kutukana kila anayekosoa serikali??
Hii political immaturity inayoonyeshwa na na wabunge wa ccm haitoshi kuwakataa watawala hawa wahuni na wasio na maadili ya uongozi wa taifa hili???
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hao wabunge wetu wa CDM walikuwa na hoja gani murua? Unajua wengine hatuna luninga tunapotafutia riziki.
hii sasa Too much kama wanashindwa kubehave Bungeni ..
Lakini inasaidia kujua Tabia zao halisi ili 2015 wakati tunatoa kura zetu ,tutakuwa makini zaidi
Alikuwa anaongea hovyohovyo, wabunge wakamzonga kwa kuingilia hoja yake akaamua kutukana.
Hili bunge likiisha kabla Mbowe au Lissu hajapigwa mtama sijui!!!!