BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

Mh rais livunje bunge ili,kuanza upya si ujinga. Wabunge wetu wametutupa sasa wanamtumikia shetani.
 
Nimemsikia,TUNATAKA TAMKO LA BUNGE NA CHAMA CHAKE..Hii haivumiliki
 
ukitaka kujua ukali wa hilo tusi hebu libadilishe liwe katika lugha ya kiswahili,and yet spika hakumchkulia hatua
 
wabunge wa ccm zaidi ya matusi hawajui sheria yeyote,huyo Lukuvi mwenyewe alikuwa mwalimu wa UPE sheria aliisomea wapi.
 
Labda Spika alikataza matusi yasitolewe kwa lugha ya kiswahili
Inawezekana kabisa kaka, lugha ya kiswahili ndiyo inayotumika bungeni!Au labda aliyetukana hajui kimombo akafikiri ametoa verse ya hipop!pengine alikuwa lecture ya matusi mchanganyiko usiku uliopita, yakawa yanamwasha ikabidi atukane kwa kimombo!
 
Wakuu huenda naibu spika hakusikia alichokitamka serukamba kutokana ma hoja za nguvu zilizokuwa zikitolewa na Lisu,Mdee na Mnyika kuhusu mambo yaliyopo mahakamani kutojadiliwa bungeni.Hivyo naomba wale ambao wana zile no.za simu za Makinda na Ndugai atuwekee ili tuwakumbushe tusi alilotamka serukamba kabla bunge halijarejea jioni.
 
Mtu anachangia hoja ya maana mwanasheria anamjibu.,achana nae maana akili ni nywele, juzi mwingne kasema wote mbwa,mi naongea na mwenye mbwa, mwingne akikosa hoja anasema ,..when men are speaking,boys should listen,cjui bungen waheshimiwa ma boy ni akina nan?mwingne eti kuna wabunge wana mimba zisizotarajiwa...mengi mengi sana. Hapa tukichuja yote sio tu itakuwa ze comedy bali twaweza kutengeneza video ya x toka bungeni.
 
Naunga mkono hoja hii!
 
Labda ndo ile tunayoambiwa "Ukitukanwa kwa lugha isiyo yako hakuumi sana"...mh!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
anayeweza kutafsiri hili neno "---- you" kwa kiswahili alilotamka huyu mbunge anisaidie..... dada white nisaidie
 
Last edited by a moderator:
Mimi pia hua siangalii ila leo ilitokea nipo bank nasubiria huduma ndipo nilisikia jamaa akitamka f world.. wamechoka wabunge
 
Ushauri
  • Spika lazima achukue hatua kali za kinidhamu
  • Chief whip wa upinzani must act also
  • Chief whip wa chama tawala lazime alikemee pia
  • Police must act on this
  • Katibu mkuu wa CCM lazima achukue hatua kwa mbunge anayetoka chama chake
  • Vyombo vya habari..Radio na TV zirudie ili wengi ambao hawakubahatika kusikia wasikie na kuona
  • Watu wa Kigoma wamkatae huyu mtukanaji
  • anti drugs pia waangalie huenda matumizi ya kile kijani kibichi yapo ikiwezekana waweke mbwa mnusaji mlangoni
  • Order for madaktari wa Mirembe kufanya medical Examination,huenda si yeye!
  • 2015 marufuku kupata kura hata ya mkewe
 
Mwenye Bunge lake alisema kuwa,alipokea ujumbe kutoka kwa mtu akimewleza kuwa hato tazama tena Bunge labda ajifungie chooni,
nae Bi”Mkubwa akasema atawatumia askari wake kumtoa nje atakae toa maneno yamatusi.
Labda swali langu kwamlioona vipi huyo mtu alitolewa ndani ya mjengo?
kama alitolewa basi haki imetendeka na kama hakutolewa basi hiyo kauli imejengaka kwa upande fulani.
nijuzeni tafadhali wadau.
 
Hatuna chakufanya ila 2015 ndio muamuzi,wanatetea wa uwaji eti kes iko mahakamani!! Yaani ingekua hawatetei uovu wasinge acha kujadili hawa wauwaji wanao tumia cm zao kutengeneza kesi za uongo naleo ndio nimegundua kua ccm wana masilahi ndani ya kesi ya lwakatare.ila wao wana pesa sisi tuna mungu kwanguvu zake wataaibika na wamesha anza
 
bunge la makida hakuna standards ni uswahilini kwa kwenda mbele, walio mpendekeza walijua atafanya nini, na ndio walicho kitaka
 
Naami mtukama huyu mheshiwa peter na nkamia nahic vinywa vyoa vimejaa matusi kama 1gb hv hayo wanayo yatoa ni yale wao wanahic n mepesi je wakitoa mazito! Tunasema wamekulia uswaz. Angekuwa mpinzani hapo lukuvi angesimama kama kawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…