Upuuzi huu;
KAFU iko upande wa SISIEMU, na wabunge wake wanapata maagizo kutoka serikali ya mseto ya Zanzimbar (CCM+CUF) namna ya kupiga kura. Wanatakaje kuwa upande wa upinzani na wakati huo huo wanasikiliza maagizo kutoka Ikulu ya Zanzibar inayomilikiwa na chama tawala CCM?
kwanza nasikia kinyaa nikiona visiwa vidogo kama vya znz ambavyo ukilinganisha vyote havilingani hata na wilaya mbili za mko wa arusha vinakuwa na utitiri wa wabunge . huu nii upupu , ingekuwa tunalinganisha wa bunge wa znz na bara huku bara tungekuwa na wabunge zaidi ya 5000. wasepe kwao watuache huku na mambo yetu .
we *****, unasema tusubiri kuona yatayowakuta cdm? Ndo wanayakwepa sasa hivi kukataa kuingiliwa na ccm kupitia cuf.cuf yamewapata hayo kwa ujinga wao na tamaa.wamemezwa sasa wanataka kutumia cdm kupandia.namimi cdm ikishirikiana na cuf nitajitoa kwenye siasa,nitahama na dhehebu niwe mlokole.Tunajua chadema wanajiamini sana na wanajiona sana. yaani wao ndo wao. Wakati bunge lililopita CUF ilikuwa na wabunge wanaokidhi kuunda serikali kivuli chadema walikuwa na wabunge 11 tu lakini CUF iliwashirikisha na tena slaa alikuwa kiongozi msaidizi kambi ya upinzani bungeni. But they see they are every thing. lakini subirini mtaona yatakayowakuta. Nakisha watayaona. Aslani. Wala hatutarudi nyuma.
CUF waache unafiki wao, wanataka vihusishwe vyama vyote mbona wao kwenye miafaka yote waliyowahi kufanya kule zenj hawajawahi kuwashirikisha wapinzani wengine? CUF wana typical roho ya kipemba ya ubinafsi. They can go to hell. Wao wacha wafaidi makombo kwenye meza ya CCM kutokana na ndoa yao ya mkeka na chama cha mafisadi.
Kuhusu mwafaka ni dhahiri hivyo ndio vyama vyenye usawishi na logic ya Hamad rashid vishirikishwe vyama vyote vyenye uwakilishi bungeni hajasema na PPT maendelo na Demokrasia makini. Wewe ulitaka kwenye muafaka iwekwe chadema ilhali hawajashinda hata usheha (udiwani) Na kwa taarifa yako ile katiba haitaji CCM na CUF ndio watakao unda serikali bali inasema mshindi wa kwanza na wapili jitahidini muwe wa pili 2015 Muunde na nyie serikali shirikishi kule Zanzibar katiba haijafunga mlango kwa vyama vingine.
"gazeti la HabariLeo"???ukisoma maneno ya Hamad Rashid alipokua akizungumza na gazeti la Habari leo utagundua kuwa chadema kinajiona wao peke yao ndio kina haki ya kuchagua nani awemo kwenye kambi yaupinzani pia wao wamehodhi nafasi zote za uongozi kwenye kambi hio
huku pembeni wakidanganya watu ati CUF na vyama vyengine ndio kikwazo
haya ni maneno ya Hamad
"Katika hatua nyingine, Hamad alisema CUF inaendelea na mazungumzo na Chadema kuhusu kuundwa kambi ya upinzani na imetoa masharti kwa Chadema kuwa itashirikiana nayo iwapo itaviingiza vyama vyote kwenye kambi hiyo.
Alipoulizwa itawezekanaje wakati Chadema imeshaunda kambi ya upinzani na kuteua viongozi wake, alisema jana (juzi) niliongea na Mbowe (Freeman) na anaweza kubadilisha kambi yake, nasi CUF tumetoa masharti ya kuungana nao ni kambi kuwa na vyama vyote na si CUF na Chadema pekee, alisema Hamad ambaye ni Mbunge wa Wawi, Pemba."
Sourcre:HabariLeo | Sitta amwosia Anne Makinda
ukisoma maneno ya Hamad Rashid alipokua akizungumza na gazeti la Habari leo utagundua kuwa chadema kinajiona wao peke yao ndio kina haki ya kuchagua nani awemo kwenye kambi yaupinzani pia wao wamehodhi nafasi zote za uongozi kwenye kambi hio
huku pembeni wakidanganya watu ati CUF na vyama vyengine ndio kikwazo
haya ni maneno ya Hamad
"Katika hatua nyingine, Hamad alisema CUF inaendelea na mazungumzo na Chadema kuhusu kuundwa kambi ya upinzani na imetoa masharti kwa Chadema kuwa itashirikiana nayo iwapo itaviingiza vyama vyote kwenye kambi hiyo.
Alipoulizwa itawezekanaje wakati Chadema imeshaunda kambi ya upinzani na kuteua viongozi wake, alisema jana (juzi) niliongea na Mbowe (Freeman) na anaweza kubadilisha kambi yake, nasi CUF tumetoa masharti ya kuungana nao ni kambi kuwa na vyama vyote na si CUF na Chadema pekee, alisema Hamad ambaye ni Mbunge wa Wawi, Pemba."
Sourcre:HabariLeo | Sitta amwosia Anne Makinda
Tunajua chadema wanajiamini sana na wanajiona sana. yaani wao ndo wao. Wakati bunge lililopita CUF ilikuwa na wabunge wanaokidhi kuunda serikali kivuli chadema walikuwa na wabunge 11 tu lakini CUF iliwashirikisha na tena slaa alikuwa kiongozi msaidizi kambi ya upinzani bungeni. But they see they are every thing. lakini subirini mtaona yatakayowakuta. Nakisha watayaona. Aslani. Wala hatutarudi nyuma.
- Wa-Tanzania ifike mahali tuiruhusu Demokrasia ii-play its hand, ni lazima tuhimize competition kati ya Chadema na CUF au na chama chochote kile cha upinzani, through hizi competition ndio tutapata chama imara cha upinzani watakaoshindwa watakua hawana jinsi ila kujiunga na washindi ndio hasa the heart and soul ya Demokrasia,
- Tusipende vitu rahisi rahisi, Chadema should not waste their time na Wapinzani wengine wasiotaka kuelewa political mood ya wananchi, waacheni wafu wajizike wenyewe!
William.
sidhani kama nibusara kuzungumuzia Chadema kuunda kambi ya upinzani wa kishirikiana na cuf,Chadema nichama makini cuf wamechanganyikiwa sidhani kama wazima kama kweli ni wazima basi wa subiri bosi wao mkwere atakapo tangaza baraza la mawaziri kama atawakumbuka akiwatosa hayo yatakuwa mengine.Mmepeana hata ilani zenu za uchaguzi hukohuko na wezi wenzenu kwanini hamkuwapa chadema? bakienihuko huko lasivyo mkokoteni na mzee wa kiraracha anaye subiri mzee amkumbuke uwaziri wa mambo ya ndani.
Tunajua chadema wanajiamini sana na wanajiona sana. yaani wao ndo wao. Wakati bunge lililopita CUF ilikuwa na wabunge wanaokidhi kuunda serikali kivuli chadema walikuwa na wabunge 11 tu lakini CUF iliwashirikisha na tena slaa alikuwa kiongozi msaidizi kambi ya upinzani bungeni. But they see they are every thing. lakini subirini mtaona yatakayowakuta. Nakisha watayaona. Aslani. Wala hatutarudi nyuma.
CCM wameshinda urais kwani panatosha?kichuguu mapema hii ushapata ?
hapa tulikua tukisema CUF wamekataa kumbe hawajashirikishwa kila kitu Chadema wamemaliza na si CUF tu na hata vyama vyengine vyote havijashirikishwa
hivi hawa wanadhani peke yao wataweza?
na hawa wangekua wameshinda urais si pasingetosha ?
Hapo kwenye maandishi mekundu uwezi pewa jibu. Nimeuliza wakina mwiba na Kibunango lakini jibu hakuna!CUF waache unafiki wao, wanataka vihusishwe vyama vyote mbona wao kwenye miafaka yote waliyowahi kufanya kule zenj hawajawahi kuwashirikisha wapinzani wengine? CUF wana typical roho ya kipemba ya ubinafsi. They can go to hell. Wao wacha wafaidi makombo kwenye meza ya CCM kutokana na ndoa yao ya mkeka na chama cha mafisadi.
CUF itaungana na vyama vingapi? CUF imeungana na ccm so wao wamewauhujumu wananchi kwa uroho wa madaraka waendelee tu![
Saa ingine huwa unazungumza mambo ya akili sana kama hapa. Big up mwana wa John- Wa-Tanzania ifike mahali tuiruhusu Demokrasia ii-play its hand, ni lazima tuhimize competition kati ya Chadema na CUF au na chama chochote kile cha upinzani, through hizi competition ndio tutapata chama imara cha upinzani watakaoshindwa watakua hawana jinsi ila kujiunga na washindi ndio hasa the heart and soul ya Demokrasia,
- Tusipende vitu rahisi rahisi, Chadema should not waste their time na Wapinzani wengine wasiotaka kuelewa political mood ya wananchi, waacheni wafu wajizike wenyewe!
William.