Burna Boy awasili Marekani na kupokelewa na P. Diddy

Mbona wakina kiba,konde,nandy,na wasanii wengi waliunga mkono juhudi watu hawawasemi

Ova
 
Mna wazimu nyie Diamond Atua Marekani Kwaajili Ya Tuzo Za BET -Video - Global Publishers
 
Huyu mchagga huwa ni mpuuzi kazi kuangalia wowowo tu
 
Mbona wakina kiba,konde,nandy,na wasanii wengi waliunga mkono juhudi watu hawawasemi

Ova
Kwa hiyo unataka kunipangia kuwa nisimlaumu Sabaya kuwa ni kiongozi muovu kisa simlaumu yule DC wa Rorya ambae alikuwa anabinya watu mbupu au kisa simlaumu DC Ally Hapi ambae hana adabu kwa wastaafu na pia ni mnyanyasaji mkubwa wa wananchi anawachapa hadi viboko?Logic za wapi hizi?!
 
Point hapa ni je kwani mondi pekee yake alikuwa msani anayeinadi ccm,si wapo wengine

Ova
 
Hivi rayvan alishachukuaga hii tuzo kama upcoming artist BET nakumbuka, dai hii tuzo anaitamani nusu kufa lakini ndiyo hivyo alijichanganya kuingia kwenye siasa na kuchagua upande ule wa manjano
Atakosa tuzo Ila kamwe haiwezi kua kwa sababu ya siasa.
 
Point hapa ni je kwani mondi pekee yake alikuwa msani anayeinadi ccm,si wapo wengine

Ova
Umeelewa nilichoandika?Nimekuambia kuwa huwezi kunipangia kuwa nisimlaumu Sabaya kuwa ni kiongozi mbovu kisa wapo akina DC Ally Sapi ambao ni viongozi wabovu pia lakini siwalaumu.
 
Umeelewa nilichoandika?Nimekuambia kuwa huwezi kunipangia kuwa nisimlaumu Sabaya kuwa ni kiongozi mbovu kisa wapo akina DC Ally Sapi ambao ni viongozi wabovu pia lakini siwalaumu.
Basi mzee mwenzangu wa kupenda misambwanda,tufanye yameisha

Ova
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tuliza wenge wote tuko ulaya maana kama muda uliokua unapost upumbavu wako na mimi nilikua macho waliokua wamelala ndo wako Africa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aiseee JF raha sana, kumbe wote mpo Ulaya [emoji1787][emoji1787]
 
Umeelewa nilichoandika?Nimekuambia kuwa huwezi kunipangia kuwa nisimlaumu Sabaya kuwa ni kiongozi mbovu kisa wapo akina DC Ally Sapi ambao ni viongozi wabovu pia lakini siwalaumu.
mkuu kwan anayegawa tuzo ni mkeo mpaka akusikilize ww? waulize wakina kigogo na maria sarungi ile petition yao iliishia wapi... walizani BET ni Mama Samia, wale hawapelekeshwi na mihemko ya wapinzani uchwara
 
Hiki ni nini ? 🤣🐒🤸👇

Magufuli vitendo, sio maneno maneno
Tunampa kitengo kwa kufika malengo,
Ameziba mapengo kwa upendo,
Magufuli namba wani iyeeh 🎶

BLADIFAKENII alikuwa ni namba wanii katika kuteka,kuua,kutesa,ukabila,udini,ubaguzi wa rangi,wizi wa kura,kuua uhuru wa kujieleza na kadhalika.
 
Kuna mtu namuhitaji hapa ni deal nae vilivyo. Maan alizidi kuchachawa, sasa leo ntamtuliza wenge. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu kuna watu humu comments zao utadhani hawana hata akili ya kuvukia barabara 😄😄

Atakuchosha bure huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…