Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Pombe inasingiziwaga tu labda hayo mengine!
 
Nimesikiliza huu wimbo mpaka mwisho naweza sema huyu Mpumbavu Burna Boy kaimba wimbo mzuri sana. Kimsingi huyu mshenzi ANAJUA
 
Mkuu hapo ni kuacha tu punyeto. Hayo mengine ikiwemo pombe hayana madhara sana...
 
HELA kwanza, Mengine baadae.

Piga kelele kwa HELA yake, Weuweeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa unanifurahisha sana hapa jamvini kila ninaposoma mabandiko yako...ila kuna jambo moja linanichanganya cocastic.
 
Kwani tunaishi kwaajili ya wanawake tu?
 
Nimesikiliza huu wimbo mpaka mwisho naweza sema huyu Mpumbavu Burna Boy kaimba wimbo mzuri sana. Kimsingi huyu mshenzi ANAJUA
Jamaa ni fundi haswaaa, na mwaka huu kapiga shows za kufa mtu, anapigia kwenye ma arena tuu, na kote ni sold-out.

Katoa bonge la album ambalo ameshirikisha manguli kama wote kutoka USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…