Burnaboy anastahili kupata tuzo la BET, alisimama na Wananchi kupinga uonevu wa Serikali na Polisi

Kuna watu special wa kupiga kura bet,sasa sijui kelele zote hz za nini?
 
Wajinga tu,kuna wengine humu ni mikumbo tu.Unakuta tanayopiga kelele ni yale ambayo hayajawahi kumsupport Mond tangu zamani,shabiki wa mond hawezi acha kumpigia kura kisa hizi hoja za kishubwada.

Kama kura zao zingekuwa dili kiasi hicho, wasingekuwa wanapigwa KO kila siku,kwenye chaguzi.
 
🤣 🤣Vita anapigwa sadala siyo poa lakini
Kati ya hao wanaopinga, unadhani kuna yoyote yule aliyewahi kumpigia kura? Nikionacho mimi ni kwamba wameamua kumpa trending bila wao kutarajia, sasahivi Kika kona ni Sadala... Sadala.... Sadala ... Nani mwingine umemsikia? Alisema atoe nyimbo yake saivi itakuwa balaaa😂.
 
Tuongeje muda ufike tutajua
 
Kura ya Polepole inamtosha Diamond
Umenena mkuu.Haswaa,hatutaki ujinga tuna akili zetu na kuelewa.
Nakumbuka lile tamasha kigoma yani hata kampeni hazijaanza za 2020 et usikuuuu domo akapigiwa simu na ile taharuki iliyofukiwa wakaongeaaaa.Halafu domo akasema "baba ww ni tano tenaaa hakuna wa kupinga"

Mwenye clip atuwekee hapa.

Hamna cha kupiga kura wala nini! Tunampigia burnaboy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…