Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Sasa hajam-deny haki zake? Ukatae mtoto ila jina ung'ang'anie alitumie la kwako? Ili baadaye akishapiganiwa amekua vizuri ndiyo uje uanze kumganda. What if ulivyokataa mimba mama yake angeamua kuitoa?Itabakia hivyo tu but hakuna decree ya kusema baba ame deny haki zake kwa mtoto.
Sasa hiyo tag inamsaidia nini mtoto?Mie simtetei in a way kwamba kafanya jambo sahihi but anastahili Tag ya kuwa biological father. Hakuweza kuwa social father kwa binti thus why bint ana bond na baba mlezi.
Jina ni sahihi its her biological father, labda mambo mengine ila hilo hata ukisema umpe jina lako wewe mtoto haibaidilishi ukweli. Utajifurahisha tuSasa hajam-deny haki zake? Ukatae mtoto ila jina ung'ang'anie alitumie la kwako? Ili baadaye akishapiganiwa amekua vizuri ndiyo uje uanze kumganda. What if ulivyokataa mimba mama yake angeamua kuitoa?
Inamsaidia kujijua yeye ni nani na chimbuko lakeSasa hiyo tag inamsaidia nini mtoto?
Akishapata akili ataaambiwa tu asili yake. Maana kama mzazi kakukataa utakanyaga huko kwenye chimbuko lake/lenu?Inamsaidia kujijua yeye ni nani na chimbuko lake
It depends na akili ya mtotoAkishapata akili ataaambiwa tu asili yake. Maana kama mzazi kakukataa utakanyaga huko kwenye chimbuko lake/lenu?
Eeh hata akitumia jina la baba mlezi au la ujombani haitobadili kuwa baba mzazi ni mwingine. Tunampa heshima mtu aliyejitoa sadaka kuwa baba kwako wakati baba halisi amekukataa.Jina ni sahihi its her biological father, labda mambo mengine ila hilo hata ukisema umpe jina lako wewe mtoto haibaidilishi ukweli. Utajifurahisha tu
Umetisha saaaaana Mkuu.Lil sis don't stress yourself; Wala hata usiwaze huyo baba yako anajisikiaje; sio shida zako hata kama umemsamehe.
Baba yako ni mtu selfish; wakati wewe unamuhitaji kwenye maisha yako; yeye hakuwa tayari. Muda huu yeye anakuhitaji wewe na anakulazimishia; sio sawa.
Ukweli ni kwamba sio kila mwanaume ni baba. Kuna watu wengi waliolelewa na baba zao; lakini hicho alicho/anachokupa baba yako mlezi; kuna millions of people hawajawahi kuki_experience. Mshukuru huyo baba yako mlezi sanaaaaa. Hujapata ombwe/ trauma kwa sababu ya kutokulelewa na baba; kwa sababu yeye aliamua kuwa baba ambaye hukuwa naye. Mimi ninajua umuhimu wa uwepo wa baba kwenye maisha ya mtoto wa kike; kwa kukukubali wewe na kukufanya mtoto wake uuuh; kitu kikubwa mnoooo, ni neema.
Tena mama yako mmmh basi tu; mimi binafsi ningekupa na surname ya huyo baba mlezi period; ingebaki tu damu yake kwako maana haiwezi kutolewa. Ubaba sio tu kumwaga mbegu; ubaba ni malezi. Baba ni yule anayejua umekula nini, umevaa nini, umelala wapi; anakupenda, anakujali, anakufundisha, anakuoyna, anakuwa concerned na wewe kwa Kila hali. Ukiumwa, ukiwa na changamoto yoyote; he is always there you. Huyo ndiyo baba na hicho kinacho-form bond kati ya mtoto na mzazi. You are an absentee parent; don't expect any bond with your child
Huyo baba yako mzazi; kaa naye kwa kina mwambie tu you are at peace with him, unamtambua kama baba yako mzazi; ila huwezi kuwa karibu naye kama anavyotamani. Ni mtoto wake kwa kukuzaa; but alishauza hiyo haki kwa mwanaume mwingine.
Nenda kamwambie baba yako mlezi ukweli wote; asije akakuona you are an ingrate. Naamini amefanya Kila kitu kwenye maisha yako kwa sababu ya upendo na sio kungoja shukrani. But kiubinadamu tu; mpe tu shukrani zake; una deni juu yake. Mpe na msimamo wako juu ya huyo baba yako mzazi. Hakikisha baba yako mlezi ana amani juu yako. Don't lose than man, don't hurt him, don't disappoint him. Make him proud; isije siku akasema "mtoto wa watu ni wa watu tu".
Alimtelekeza kipindi ambacho anamhitaji tena ,kipindi ambacho kuzaa out of wedlock ilikua ni dhambi sana,baba wa watu akakubali kumfichia aibu mama wa watu na good enough anamlea kwa upendo 100%Sasa hajam-deny haki zake? Ukatae mtoto ila jina ung'ang'anie alitumie la kwako? Ili baadaye akishapiganiwa amekua vizuri ndiyo uje uanze kumganda. What if ulivyokataa mimba mama yake angeamua kuitoa?
Eeh hata akitumia jina la baba mlezi au la ujombani haitobadili kuwa baba mzazi ni mwingine. Tunampa heshima mtu aliyejitoa sadaka kuwa baba kwako wakati baba halisi amekukataa.
Biological father bila huduma ni zero tu,kubwa amefata jinsia ya mtoto maana angekua na mabinti asingemtafutaMie simtetei in a way kwamba kafanya jambo sahihi but anastahili Tag ya kuwa biological father. Hakuweza kuwa social father kwa binti thus why bint ana bond na baba mlezi.
Maybe Next Time mkuu!!Unaweza kushare how to? Nina situation kama hili
Ila Ninamshukuru na Mama yake pia.Mungu akubariki, utakuja shukuru kwa hayo maamuzi baadaye..
That is allUna kesi kama ya shosti angu mmoja ila yeye aliamua kusimama upande wa Mama yake na Baba mlezi. Huyo Baba mzazi muache alalamike weee atachoka mwenyewe kamwe usije umiza waliokua nawe kipindi kigumu na cha furaha.
Hawa jamaa wa hit and run ndo kawaida zao hizo. Anakimbia huku akijua kuna mimba au mtoto katelekeza anabaki kujipa matumaini atanitafuta akikua.
Ukisogeza ukaribu zaidi kituo cha pili kitakua kutembeleana,leo atataka uende huku kesho kule kesho kutwa pale.
Muheshimu tu kama mmoja wa wazazi wako.
Aah hayaa..twende kazi washauri...who is next??Lil sis don't stress yourself; Wala hata usiwaze huyo baba yako anajisikiaje; sio shida zako hata kama umemsamehe.
Baba yako ni mtu selfish; wakati wewe unamuhitaji kwenye maisha yako; yeye hakuwa tayari. Muda huu yeye anakuhitaji wewe na anakulazimishia; sio sawa.
Ukweli ni kwamba sio kila mwanaume ni baba. Kuna watu wengi waliolelewa na baba zao; lakini hicho alicho/anachokupa baba yako mlezi; kuna millions of people hawajawahi kuki_experience. Mshukuru huyo baba yako mlezi sanaaaaa. Hujapata ombwe/ trauma kwa sababu ya kutokulelewa na baba; kwa sababu yeye aliamua kuwa baba ambaye hukuwa naye. Mimi ninajua umuhimu wa uwepo wa baba kwenye maisha ya mtoto wa kike; kwa kukukubali wewe na kukufanya mtoto wake uuuh; kitu kikubwa mnoooo, ni neema.
Tena mama yako mmmh basi tu; mimi binafsi ningekupa na surname ya huyo baba mlezi period; ingebaki tu damu yake kwako maana haiwezi kutolewa. Ubaba sio tu kumwaga mbegu; ubaba ni malezi. Baba ni yule anayejua umekula nini, umevaa nini, umelala wapi; anakupenda, anakujali, anakufundisha, anakuoyna, anakuwa concerned na wewe kwa Kila hali. Ukiumwa, ukiwa na changamoto yoyote; he is always there you. Huyo ndiyo baba na hicho kinacho-form bond kati ya mtoto na mzazi. You are an absentee parent; don't expect any bond with your child
Huyo baba yako mzazi; kaa naye kwa kina mwambie tu you are at peace with him, unamtambua kama baba yako mzazi; ila huwezi kuwa karibu naye kama anavyotamani. Ni mtoto wake kwa kukuzaa; but alishauza hiyo haki kwa mwanaume mwingine.
Nenda kamwambie baba yako mlezi ukweli wote; asije akakuona you are an ingrate. Naamini amefanya Kila kitu kwenye maisha yako kwa sababu ya upendo na sio kungoja shukrani. But kiubinadamu tu; mpe tu shukrani zake; una deni juu yake. Mpe na msimamo wako juu ya huyo baba yako mzazi. Hakikisha baba yako mlezi ana amani juu yako. Don't lose than man, don't hurt him, don't disappoint him. Make him proud; isije siku akasema "mtoto wa watu ni wa watu tu".
SanaaaaAll included!!
Hii Task itakuwa nyepesi kama Baba Mzazi
Atakaa mezani na Baba Mlezi, wayajenge. Sisi Wanaume ni rahisi sana kuelewana
Okeee. Iko hivi, mama mzazi alijua ipo siku utahitaji kujua asili ya baba yako na hakutaka kukuuza kwenye ukoo mwingine na ndio maana licha ya kuingia kwenye mahusiano na mtu mwingine bado alikuandika kwa jina la ukoo wa baba yako. Pia kwa kuwa alimuambia mimba ni yake, alijua ipo siku baba yako angekutafuta umri wa ujana ukimtoka Hakutaka kukunyang'anya haki ya msingi inayohusu utambulisho wako. Your mother ni zaidi ya binadamu na anastahili pongezi kwenye hili.Hoping....!