Okoth p'Bitek
JF-Expert Member
- Jan 11, 2019
- 1,124
- 1,384
Page ipi ya Insta ameandika hayo? Post ya lini? Explore account ya Busta hutoona huu uongo.
Then ukisema Busta ni No. 1 kwenye tongue twist sio sawa kuna kina Bone thugs n' harmony unawaacha wapi?
Michael Jackson huyu au wa wapi ?Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.
Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha kuisimamisha Africa.
Walikuwa wote studio pamoja na international producer wa Diamond aitwae Swizz Beats.
Rapa namba moja duniani kwenye kucheza na ulimi "tongue twist" aitwae Busta Rhymes ameiambia dunia kupitia ukurasa wake wa Instagram kwamba Michael Jackson wa Africa ni Diamond Platnumz.
Busta amefikia kumuita Diamond ndio Michael Jackson wa Africa baada ya kuona uwezo wake mkubwa kiasi cha kuisimamisha Africa.
Walikuwa wote studio pamoja na international producer wa Diamond aitwae Swizz Beats.
Page ipi ya Insta ameandika hayo? Post ya lini? Explore account ya Busta hutoona huu uongo.
Then ukisema Busta ni No. 1 kwenye tongue twist sio sawa kuna kina Bone thugs n' harmony unawaacha wapi?
Hamna kitu hapo acha ulongo!!...
We nawe ss Ludacris unamweka kwenye kundi la watu wa tongue twist kweli? 😜Wa kwanza ni Twista.
Ludacris, busta na wengine wanafuatia
Swiz beat ni producer wa diamond?
Kwahiyo unabisha?We nawe ss Ludacris unamweka kwenye kundi la watu wa tongue twist kweli? 😜
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda michael jackson wa congo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahHuyo Busta kamkosea sana MJ; kutumia jina lake kwenye mfano wa ajabu kiasi hiki.
Kama wazungu wameshindwa kumpata MJ mpya hadi sasa iweje aje kupatikana Tandale! Busta niliwahi kumshauri aache kutumia bangi yenye unyevunyevu hakusikia, oneni sasa matokeo.
Swali zuri..mkuu unakunywa nini hapo? Muite muhudumAfrica ilisimamishwa lini?
Busta,twista,na wa bone thugs n harmon..,..Rapa namba moja kwa category hiyo ni Twista
Chiz wwBasita raimus nae ni mchizi mox wa marekani tu
Na ww atakutoboa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtabakia hivyo hivyo mwenzenu anazidi kutoboa.