Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia,
#Pole sana bw. FAM.
#Pole sana bw. FAM.
CHADEMA ishawahi kupita magumu MENGi sana, this too shall passChadema is stronger like never before
Mbona hukuhoji Katibu wa Chama kikubwa kubaki kwenye post hiyo Hata baada ya kuomba aondoke akakataliwa?Sikuelewa dhana ya Mnyika Kubakia kwenye ile Post mana tuna amini Kuwa ni sehemu ya transition
Wanasahau kuwa Mnyika hakukubalina na wale wabunge wa kuteuliwa kuwa Bungeni. ni kama alizungukwa.Kwahiyo unataka na yeye aondoke Chadema?, huo ni utoto wako tyu!
Unamsemea Kanali Kinana?Mbona hukuhoji Katibu wa Chama kikubwa kubaki kwenye post hiyo Hata baada ya kuomba aondoke akakataliwa?
🤔 🤔 🤔 🤔💭Baada ya Mnyika kupewa fedha akanunua magari mengi sana ya daladala aina ya TATA, amekuwa mtu ambaye haaminiki sana. Kitengo wamemuweka mfukoni. Ana magari kama 50 au 70
Wewe mwana ccm huna jipyaWenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia,
#Pole sana bw. FAM. View attachment 3329610
SECRET SUCCESSOR OF EVERY WHAT HAPPEN!,Sikuelewa dhana ya Mnyika Kubakia kwenye ile Post mana tuna amini Kuwa ni sehemu ya transition, Ivo Izi Internal Conflict ni sehemu ya yeye pia Kufail ku succeed Regime hii,
Mwaka huu mmeyakanyaga no Reforms no elections 😁 😁 😁Baada ya Mnyika kupewa fedha akanunua magari mengi sana ya daladala aina ya TATA, amekuwa mtu ambaye haaminiki sana. Kitengo wamemuweka mfukoni. Ana magari kama 50 au 70
Sasa nyie watu, hata kwenye Uchaguzi hampo, mmeletewa wito kwa unyenyekevu mkasaini kwa kile kilicho kuwa agreed mapema mmekataa, mkasusa, tuwafanyaje!, tukutane 2030.Mwaka huu mmeyakanyaga no Reforms no elections 😁 😁 😁
Mwendawazimu pekee ndiye anaeweza Saini uchafu ule,Sasa nyie watu, hata kwenye Uchaguzi hampo, mmeletewa wito kwa unyenyekevu mkasaini kwa kile kilicho kuwa agreed mapema mmekataa, mkasusa, tuwafanyaje!, tukutane 2030.
Gari kutoa moshi ndiyo mwendo wake. Na binadamu kutoa kinyesi ndiyo uhai wake. Hivyo uhai wa chadema umeimarika zaidi kwa kuondoka kwa hawa waigizaji wa mabadilikoCHADEMA ishawahi kupita magumu MENGi sana, this too shall pass
Naaaaaam MUNGU nae kawaumbuaGari kutoa moshi ndiyo mwendo wake. Na binadamu kutoa kinyesi ndiyo uhai wake. Hivyo uhai wa chadema umeimarika zaidi kwa kuondoka kwa hawa waigizaji wa mabadiliko
Wewe hapo shida yako ni nini? Kwamba unaihurumia CDM na watu wake au unafurahia?! Unataka CDM imfukuze Mnyika? Au unahiji kwanini Mnyika hatekwi wala kupotezwa?SECRET SUCCESSOR OF EVERY WHAT HAPPEN!,
# note this!, anauma anapuliza!