Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
- Thread starter
- #21
Kinaitwa chama cha chuki, visasi na vinyongo, hiyo transformation ni ya kiini macho, mpango wa chini ulikuwepo kitambo sana!, ulishasukwa!Wewe hapo shida yako ni nini? Kwamba unaihurumia CDM na watu wake au unafurahia?! Unataka CDM imfukuze Mnyika? Au unahiji kwanini Mnyika hatekwi wala kupotezwa?
# FAM aliishi na maadui bila kufahamu.