Bw, Mnyika kama kiongozi uliyesaidia transitional, how do you survive?, maswali ni mengi sana!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Wenye akili zetu tumekaa tu kimya tunakuangalia,
#Pole sana bw. FAM.
 
Baada ya Mnyika kupewa fedha akanunua magari mengi sana ya daladala aina ya TATA, amekuwa mtu ambaye haaminiki sana. Kitengo wamemuweka mfukoni. Ana magari kama 50 au 70
 
Ndiko hako katoto kwenye trigger!, kana fyatua tu, halafu kanakaa kimya!
 
Sikuelewa dhana ya Mnyika Kubakia kwenye ile Post mana tuna amini Kuwa ni sehemu ya transition, Ivo Izi Internal Conflict ni sehemu ya yeye pia Kufail ku succeed Regime hii,
 
Sikuelewa dhana ya Mnyika Kubakia kwenye ile Post mana tuna amini Kuwa ni sehemu ya transition
Mbona hukuhoji Katibu wa Chama kikubwa kubaki kwenye post hiyo Hata baada ya kuomba aondoke akakataliwa?
 
Baada ya Mnyika kupewa fedha akanunua magari mengi sana ya daladala aina ya TATA, amekuwa mtu ambaye haaminiki sana. Kitengo wamemuweka mfukoni. Ana magari kama 50 au 70
πŸ€” πŸ€” πŸ€” πŸ€”πŸ’­
 
Sikuelewa dhana ya Mnyika Kubakia kwenye ile Post mana tuna amini Kuwa ni sehemu ya transition, Ivo Izi Internal Conflict ni sehemu ya yeye pia Kufail ku succeed Regime hii,
SECRET SUCCESSOR OF EVERY WHAT HAPPEN!,
# note this!, anauma anapuliza!
 
Baada ya Mnyika kupewa fedha akanunua magari mengi sana ya daladala aina ya TATA, amekuwa mtu ambaye haaminiki sana. Kitengo wamemuweka mfukoni. Ana magari kama 50 au 70
Mwaka huu mmeyakanyaga no Reforms no elections 😁 😁 😁
 
Sasa nyie watu, hata kwenye Uchaguzi hampo, mmeletewa wito kwa unyenyekevu mkasaini kwa kile kilicho kuwa agreed mapema mmekataa, mkasusa, tuwafanyaje!, tukutane 2030.
 
Mwendawazimu pekee ndiye anaeweza Saini uchafu ule,
 
Attachments

  • GoY5Z2JWAAAtRrA.jpg
    84.3 KB · Views: 31
SECRET SUCCESSOR OF EVERY WHAT HAPPEN!,
# note this!, anauma anapuliza!
Wewe hapo shida yako ni nini? Kwamba unaihurumia CDM na watu wake au unafurahia?! Unataka CDM imfukuze Mnyika? Au unahiji kwanini Mnyika hatekwi wala kupotezwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…