Mnyika, BoniYai, Sugu, Prof J, Heche, Pambalu, Mungai etc ni watu ambao wanajua vyema wanaweza shinda ubunge kwa tiketi ya Chadema tu and not otherwise, sababu watu wamewapenda kupitia Chadema. And likely this December watakuwa bungeni kupitia Chadema hiyo hiyo. Hao G55 hawana ushawishi wowote ndani ya chama na nje ya chama, walizoea kula kwa mgongo wa Mbowe, sasa hayupo hawana pa kujifichia.
Nnauhakika 100% at some point, kabla ya 1July, Chadema watakuwa wameshasign kushiriki uchaguzi, na asilimia kubwa ya hao niliowataja hapo watakuwa wabunge, meanwhile G55 haitotoa hata diwani popote iendapo. Badluck kwao, ingekuwa wakati wa Magufuli sasahivi tayari wangekuwa washachukuliwa CCM na ahadi kedekede. Mama hacheki na wowote