ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa kiongozi wa nchi
Nakumbuka kwa mbaali kuhusu katiba yetu..!Kwani kutuhumu na kushambulia rais wa nchi na taasisi yake si haki ya kikatiba ya Watanzania?
Kama mlifanya kampeni hamkufa na mkaondoka kurudi Ubelgiji basi endeleeni kutuacha.Mpaka afe Jiwe ndiyo akili ziwarejee.
Wameshaambiwa waliopo wanatosha wataadilishiwa vituo vya kazi tu. Na ajira ya kuwatukana CHADEMA na ACT imesitishwa kwa muda.Ameweka na jina lake akumbukwe kwenye teuzi. Bado wakuu wa wilaya.
Kwani Tanzania kuna Korona?Sasa akifa huyo jiwe we we na familia yako mnaoshinda hapo ufipani mtafaidika na nini?? Kuchakutwa mnaliombea taifa juuu ya mabayaa. Kumbukeni suala lakorona mpaka sasa hakuna mbinu sahihi ambayo kunataifa ulimwenguni kote wamefanikisha juu ya mapambano dhidi ya korona, kama si huruma ya Mungu kutunusuru.
Tanzania ile ya kijani hakuna.Kwani Tanzania kuna korona?
Ogopa sana maombi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania ile ya kijani hakuna.
Uzuri ile orodha ya isiisii bado inaendelea kukua hivyo kusanya vielelezo kadiri uwezavyo ili wote wale wanashabikia na kuchochea maovu ,hatimae siku wawanibike.Hata kwa Lissu mlianza vijineno vya kijinga kama hivi,mwishowe mkampiga risasi.Sasa naona hata Mbowe mnamtafutia vijineno vya kijinga mumpige risasi.
Vinamtesa jamaa yako ambaye anayafuga huko anakojificha
Wasemewe na kiwanda cha matusi kama wewee?? Haaaa haaaaNawasemea wasio na sauti chini ya dictator tuliyenaye. Mi sihitaji ajira
Muulize MboweKwani Tanzania kuna korona?