Bwana Freeman Mbowe, tumia lugha ya staha unapoishauri Serikali ya Rais Magufuli dhidi ya COVID19

Tatizo kuna watu wanamuona Rais kama Mungu mtu wakati ni mtu tu kama wengine na yeye ana siku yake kama mwingine yeyote yule, ni shida sana..!!
 
Asimamishe miradi aagize chanjo, hapo tungeamini anajali wananchi
 
Nasikitika kuwa ushauri wako umeangukia kwenye sikio lililokufa!
 
Kifupi ni kuwa Rais ameonesha udhaifu kiuongozi kwa kupenda sifa asokuwa nazo
 
Lini uliwahi kumshauri huyo dhalimu anayetaka kupiga Mashangazi na akina Mama? Au kauli zake kwako wewe muunga juhudi huzioni kama zina kasoro kubwa sana?
 
Labda aende chuo cha diplomasia kwa kodi fupi au Mwalimu Nyerere University
 
Mbowe kama Mbowe baada ya uchaguzi kuisha na kumshinda Magu kwa Nyomi za kutosha kweny mikutano ya kampeni.
 
Sasa na yale maandamano ya yule kiongozi wa dini nayo vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…