Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

Iko hivi 🤣 🤣 🤣 🤣 kuna mtu ambae hapendi kujenga kwao???? Kwasababu magufuli sio mimi ndo nimseme vibaya?? Ingekua mimi kwetu kungekua mara kumi ya chato! Anachonikera magu ni kubana upinzani tu
 
Sina imani kama unaamini unachokisema
 
Kahama haina hata uwanja wa Ndege, haina stendi ya hadhi yake! Kutwa Chato tu?

Bora miradi hiyo mngeileta Kahama
Kahama kuna dhahabu ya kutosha tu kama ilivo Geita!
Kama Magufuli anadai ni swala la maendeleo ya Watz wote mbona hajafanya kama hayo aliyoyafanya huko kwake Chato???
CCM na Magufuli waache kuwacheza shere Watz.....iko siku hixi mali za Watanzania watazitapika tu....ni swala la muda tu!
 
Kwani kuwa na eneo la mfano la uwekezaji wa umma ili kuvutia wawekezaji ni kosa? Hatuna special satellite developed areas nchini.Tuache upotoshaji tuangalie kwa mtizamo chanya kwa hili.
 
Iko hivi 🤣 🤣 🤣 🤣 kuna mtu ambae hapendi kujenga kwao???? Kwasababu magufuli sio mimi ndo nimseme vibaya?? Ingekua mimi kwetu kungekua mara kumi ya chato! Anachonikera magu ni kubana upinzani tu
Acha akili za kimagumagu hizo bro!!! Kama na Nyerere Baba wa Taifa angelianza na akili mbovu kama za Mahufuli basi Musoma na Butyama ingelikuwa Ulaya kadhalika na kwa Mzee Mwinyi, Mkapa na Kikwete. Marais wote 4 hawa kuwa na akili za matope kama za huyo Jiwe wako....!!!
Kindly be informed that the same CAKE must be shared to all Tanzanians.
 
Kwani kuwa na eneo la mfano la uwekezaji wa umma ili kuvutia wawekezaji ni kosa? Hatuna special satellite developed areas nchini.Tuache upotoshaji tuangalie kwa mtizamo chanya kwa hili.
Acha urugaruga wewe.....pumbaaf kabisa!
Hakuna upotoshaji hapa baali ni kweli tupu....!!!Kuna maeneo mangapi Tanzania kwa ajili ya uwekezaji wa mfano???Why Chato only???
 
usisemee nafsi ya mtu, kwani ingekua wewe ungefanyaje??? yaani kwenu upaache hvi hvi???
 
Porojo kama porojo zingine.

Je umewahi kujiuliza , kuna wilaya yoyote iliyofanyiwa favour za namna hii Tanzania, katika awamu hii ya tano ?!.

Je wilaya zingine hazistahili ?!

Tatizo kubwa la Tanzania ni kuwa na katiba mbovu, inayomuumba mtu asiyeweza kuhojiwa hatua zake. Hata kama hatua hizo ni kinyume cha sheria.

Odhis *
 
Naomba kufahamu,ni Mutungi ninaye mfahamu,au yule wa Mbenge.
 
usisemee nafsi ya mtu, kwani ingekua wewe ungefanyaje??? yaani kwenu upaache hvi hvi???
Hili siyo swala la nafsi ya mtu bro. Unachotetea ni uroho, ubinafsi na ufisidi wa mali za umma . Hapa tunazungumzia maslahi mapana ya Taifa letu na hasa kwa yule tuliyempa dhamana na akaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya nchi yetu....!!!!
 
Hakuna upotoshaji,mwenye maslahi hata uovu atauita baraka ,useme ukweli kutoka moyoni mwako.
 
Hili siyo swala la nafsi ya mtu bro. Unachotetea ni uroho, ubinafsi na ufisidi wa mali za umma . Hapa tunazungumzia maslahi mapana ya Taifa letu na hasa kwa yule tuliyempa dhamana na akaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya nchi yetu....!!!!
chato ni sehemu ya taifa pia...na kinachofanyika chato ni kitu kidogo sana ukilinganisha na yanayoendelea mikoa mingine
 
Wamepita marais wangapi kwanini hawakukumbuka kwao?wali delay au walikuwa wabinafsi
Mtu kwao bwana ......kwa mwafrika

Ova
 
Kwani kuwa na eneo la mfano la uwekezaji wa umma ili kuvutia wawekezaji ni kosa? Hatuna special satellite developed areas nchini.Tuache upotoshaji tuangalie kwa mtizamo chanya kwa hili.
... elezeni basi mueleweke kwamba mnatengeneza satelite developed areas kwa mifano ya Gbadolite ya Zaire na Yomossoukro ya Cote de Ivoire badala ya kufanya kimya kimya. Mbona EPZ pale Mabibo External ilifafanuliwa na kila mtanzania akaelewa; ulisikia anayehoji? Ila kwa kutetea ujinga mko vizuri!
 
Bashiru au sio!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..unasema Chato na Bukoba ni karibu, na Bukoba kuna uwanja wa ndege. Basi kwa msingi huo hakukuwa na haja ya kujenga uwanja wa ndege wa Chato. Zaidi, kama uwanja wa ndege wa Mwanza una matatizo wangeweza kutumia uwanja wa ndege wa Bukoba. Uwanja wa ndege wa Chato umejengwa kwa ajili ya kumfurahisha Bwana mkubwa na haukuwa kipaumbele cha Watanzania.
 
Usichoelewa ni kwamba, wananchi wa Chato wamehamasika kimaendeleo baada ya kuona mmoja wao ni kiongzi mkuu wa nchi. Kinachofanyika Chato, hata Nangurukuru kinaweza fanyanyika.
 
Usichoelewa ni kwamba, wananchi wa Chato wamehamasika kimaendeleo baada ya kuona mmoja wao ni kiongzi mkuu wa nchi. Kinachofanyika Chato, hata Nangurukuru kinaweza fanyanyika.
... kwa hiyo ni nguvu za wananchi wa Chato zinatekeleza miradi yote ile tena ndani ya muda mfupi baada ya "hamasa kubwa"?
 
Tujiandae watanzania na upinzani ambao unageuka kua adui wa taifa. Hakika mtu kama lissu kwa sasa tunaweza kumwita adui wa taifa maana anatekeleza ajenda ya mabeberu dhidi ya nchi yake bila aibu. Hiyo makala aliyoandika imejaa uzandiki na uongo mtupu.
 
Kahama haina hata uwanja wa Ndege, haina stendi ya hadhi yake! Kutwa Chato tu?

Bora miradi hiyo mngeileta Kahama

Mkuu kwa sisi tunao ijuwa Kahama kwa miaka mingi, shukuruni Mungu Kahama imebadirika sana sana for the better - jaribu kutembelea kwa kile wanacho kiita manispaa ya mjini wa Bukoba ndio utashuhudia maana ya mji kusahulika/kutelekezwa, nakwambia utatamani kurudi mbio Kahama siku hiyo hiyo.

Siku moja niliwahi kumsikia Mwl. Nyerere aki hadithia kisanga alicho wahi kushuhudia huko Cancuun (sijui kama jina la mji huo nimepatia) mjini wenyewe huko Amerika kusini nadhani Algentina, Brazil au Chile-Viongozi wengi walikwenda kuhudhulia mkutano wa Kimataifa kuhusu agenda gani - sikumbuki vizuri.

Sasa katika chakula cha mchana Rais Reagan, Indira Ghandi na Mwl. Nyerere wakawa wamekaa meza moja, sasa katika mazungumzo yao wakawa wamegusia umasikini na matatizo mengi yanayo kumba Mataifa ya Dunia ya tatu - Reagan kawasilizaa mwishowe kajibu kwa kejeri na dharau kwamba "Well,we all have problems" nasikia walikaa kimya kwa muda, baadae Indra Ghandi kamjibu kidiplomasia kwamba: Kuna mtu aliwahi kulalamika mara kwa mara kwamba hana viatu, hana viatu, lakini siku moja alipo kutana na binadamu wenzake ambao hawana miguu kabisa alishagaa sana sana - toka siku hiyo hakulalamika tena kuhusu masuala ya kutokuwa na viatu, nasikia baada ya Reagan kusikia simulizi za Ghandi aliinamisha kichwa chini hakujibu kitu. Bottom line, is: Mji wa Kahama hauna viatu lakini,mkuu, kumbuka mji wa Bukoba hauna miguu kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…