Bwana Tundu Lissu, Hoja ya Chato na Maendeleo ya sasa inajibika Kimantiki

Kitu ambacho sina hakika ni Mkoa wowote wa Tanzania kutoka eneo lolote lile lingekuwa linaingiza TRILLION 2.356 kama pato la kikodi, na kuchangia TRILLION 7 ( dollar 2.7 billion) akiba ya fedha za kigeni kelele zisingetosha humu. Haki hii wamezibwa midomo tuu kwa kuwa Rais anatoka maeneo yao, sidhani kama pangetosha.

Na wakosoaji maendeleo wa Mikoa mingine ya Tanzania. Kwanza ni matusi kwa serikali yetu kama wangeisahau Geita.

GEITA INAINIZA PATO KUBWA KULIKO SHUGULI ZOTE ZA UTALII KWA NCHI NZIMA, MAPATO YA DHAHABU NDIO YENYE KULETA MAPATO MAKUBWA ZAIDI KULIKO BIDHAA AU SHUGULI NYINGINE YEYOTE YA UZALISHAJI TANZANIA.

Akimaliza muda wake Rais Magufuli na akiondoka tutawatafutia mbeleko ya kuwabeba.

Mikoa ya Magharibi ina akiba kubwa ya dhahabu na Almasi nyingi kuliko ambayo nchi hii imekwisha chimba tangu kuzaliwa kwa Taifa hili.

Haya malamiko ya Chato kupata miradi tunatengeneza moto ambao utatusumbua baadae. Ukila na kipofu ushimshike mkono.


Geita Gold Mine Kicks Off 9,2bn Shillings of Community Development Spending

(Geita – PRESS RELEASE) -- Geita Gold Mine Limited (GGML) today marks an important
milestone in its journey to develop local communities in the Geita Region, with the handover
of construction materials for key infrastructure projects including classrooms, healthcare
facilities, and employee accommodation. The materials include cement, roofing sheets, gravel
and sand.
This development follows the signing of the Memorandum of Understanding (MoU) in March
by GGML, Geita District Council and Geita Town Council. GGML was the first mining company
to comply with Tanzania’s new legislation governing the process for agreeing its Corporate
Social Responsibility (CSR) plan in advance of its implementation. The total value of the
projects that stand to be financed and executed under the GGM CSR Plan of 2018, is 9.2
billion Tanzanian Shillings.
“We are proud of this contribution,” GGML Managing Director, Mr. Richard Jordinson, said.
“We’ll continue our work with local government authorities and host communities, through an
inclusive process, to ensure our mining activities create sustained economic development
benefit for the people in the region, and in Tanzania as a whole.”

The CSR plan includes a range of other projects, notably the installation of solar powered
streetlights along the main roads in Geita town, the construction of a state-of-art tower at the
Geita Town roundabout, and development of a modern market facility for Geita Town.
Under the Mining Act 2010 as amended by the Written Laws (Misc. Amendment) Act 2017
mining companies, including GGML are required to prepare and implement a credible
Corporate Social Responsibility Plan jointly agreed by the relevant Local Authorities in
consultation with the Minister responsible for Local Government Authorities and the minister
responsible for Finance.
Mr Jordinson acknowledged and commended the support shown by the local government
authorities throughout the process of CSR implementation, commenting: “The Company
would like to convey its sincere gratitude to the Hon. Regional Commissioner and the
Directors for the Geita District and Town Councils for their support and guidance throughout
this process.”
He said the 2018 CSR Plan represents a positive model that demonstrates how the
government and private sector can work together towards a better future for Tanzania.
Ends

Na huu ni mgodi mmoja katika migodi mikubwa minne, na zaidi ya migodi mdogo mdogo 326.

Waambieni CSR (CORPORATE SOCIAL RESPONSIBITY) WANALIPWA MABILLION MANGAPI? Hakuna mkoa unaofanana na Geita kwa mapato ya wachimbaji tuu.
 
Kitu ambacho deogratius Mutungi hajielekezi kwa makusudi ni kwa nini miradi mingi hivyo ikafanywa kijij cha Chatto?
Kwa nini sio Tabora,Mpanda,Singida nk.?
Pia ameshindwa kabisa kutuonyesha tofauti ya Magufuli na Banda na Mobutu.
Hakuna jibu lolote la kimantiki hapo.
 
Wewe ni mwelewa sana.Nimekutunuku u doctor.
Mmekutana wapuuz wawili,
Unaijua hata historia ya Gbadolite alikojenga uwanja Mobutu?
Kwa akili zenu mnamfananisha Mobutu na JPM kweli?
Si mumfate huyo mwenzenu huko huko kwa hao wacongo na wanyarwanda Belgien mkaongee muungane mkono malouser nyie.
Uwanja ushajengwa na ndege zinatua, kaubebeni muupeleke huko Ikungi sasa.
 
Bwana mwandikaji, sasa hapa umejibu hoja za Lissu au Umesasambua hoja za Lissu?
 
Umejibu hoja ya Lissu au nawe umeamua kuonekana umechangia
 
Sumbawanga, Nachingwea, Kisarawe, Misenyi, Mbinga.....maeneo haya yanapaswa pia kupokea kilichofanyika kama hapo mnapopatetea....
 
Umeona takataka za watu? Eti na huyu ana mke na watoto wanasema baba amekwenda kazini!
 
Uongozi wa Nchi wangeachiwa watu wa Pwani tu ambao tayari wako exposed
Maana ukimtoa Nyerere tu huyu anatuletea majanga
Mwinyi—-Pwani
Mkapa—Pwani
Jakaya—Pwani
 

“Upuuxi” ndio nini??
 
GGM iko Geita mjini,Buly iko Kakola!Je,umetembelea maeneo hayo ujiridhishe na hali ilivyo?Geita-Kakola bado ni barabara ya tope!Huduma ya maji Geita bado si ya uhakika!
Sasa inashangaza iweje miradi mikubwa ielekezwe Chato na si makao makuu ya mkoa ambako ndio mgodi unaoingiza fedha nyingi upo?
Ndio hapo tunajiuliza,kuna nini Chato???Walau basi hiyo miradi ingesambazwa wilaya za Geita equally au kwa uwiano mzuri,ila yote imeenda chato,why????
Msijitie upofu n Kutafuta namna ya kujustify upendeleo wa wazi!
 
Hoja gani ipo humo?we nyumbu ndo usome hiyo taka mi sipotezi mda huo. Kapigwa sanduku la kura Na kawaacha hapa live mnatoa macho.
Sasa kama hujui kilichoandikwa,kwanini unachangia?Uwendawazimu sio lazima kuokota makopo barabarani!
 
Hapotishi umma ,umma wenyewe unaona na kutambua tuna aina gani ya kiongozi.
Unawezaje kutumia kodi za watu watanzania wote kulindikia miradi mikubwa kuliko mahitajio sehemu unayoyka Rais. Huu ni ubnafsi. Uwanja wa ndge wa kimataifa chato.kisingizio utalii . Serngeti ipo mara ,mikumi Rwaha Kuna vinjwa vikubwa? Hosp ya rufaa ya kanda kwa nini isijengwe Geita? Unajenga hosp ya rufaa kijijini kwako Rais! Majengo ya ofisi za uma yanajengwa makubwa kuliko hadhi ya mji ,mfano Tannesco,Bima Tra, veta. Kuna tofauti gani na wale wanaonunua magari yaliyo juu ya hafhi zao? Hata kama asiposema Lisu watanzania Tunaona. Hata wewe unajua anachifanya Amagufuri kilifanywa na Mobutu ,ila umejawa na ulafi tu
 
Sasa kama hujui kilichoandikwa,kwanini unachangia?Uwendawazimu sio lazima kuokota makopo barabarani!
Mi huyo mwehu mwenzio simsomi hapa namskia upuuzi wake huko kwingine hana jipya
 
Mi huyo mwehu mwenzio simsomi hapa namskia upuuzi wake huko kwingine hana jipya
Sasa kama humsomi si upite tu,kwanini uchangie kitu ambacho hujasoma?Ungepita tu kimya kimya ukatuachia mada watu ambao tuna uvumilivu wa kujadili hoja kwa hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…