Bwana wangu anaendesha bodaboda, nifanyaje?

Analalamika huku anajua ana Bodaboda.. watu wengine wanashangaza sana.. amuache asimpotezee muda apate mwanamke mwingine..

Tabu kutokuwa na akili na maarifa na kusoma kote.. ndio muhusika.. shame
Dada mbona kama umechukulia personal??
Uko na bwana Bodaboda au ana degree Hana ajira?
 
Weee!
Me namjua bodaboda anaendesha hapa mtaani waka WA 8 sasa🚢🚢🚢
Mnyooko huo vepe?!
 
Olewa na mpenzi wako yule anaepata basic salary 500k kabla ya makato au subr had utakapompata huyo unaemtaka mwenye uwezo wa kununua gari
Si mpaka WA laki 5 ampende?!🚢🚢🚢
Shida kupendwa baaab
 
Kama ana bodaboda mbona yupo njema sana huyo!! Kumbuka alizaliwa bila ya nguo. So, anachokipambania kipo hapa duniani na maadam anakitafuta atakipata tu.
Kikubwa wewe pia upambane, siyo unakwenda kujitegesha kama Kitengwe Maulid.
 
Kama ana bodaboda mbona yupo njema sana huyo!! Kumbuka alizaliwa bika ya nguo. So, anachokipambania kipo hapa duniani na maadam anakitafuta atakipata tu.
Kikubwa wewe pia upambane, siyo unakwenda kujitegesha kama Kitengwe Maulid.
Bro, unaendesha bodaboda au?! πŸ˜‚
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwambie huyo bwana ake ni Afisa safirishaji! Na siyo mwendesha bodaboda. Lakini pia atembee kifua mbele. Halafu umwambie bodaboda kwa siku analaza mpaka elfu 60! Kwa hiyo 60,000Γ—30=1,800,000!

Tena nasikia hao bodaboda eti wana maisha mazuri kuliko hata walimu wenye elimu ya chuo kikuu! Na haya siyo maneno yangu. Ni maneno ya baadhi ya watu humu jukwaani.
 
Walete ushahidi iKIWA na wewe
Huenda wanaotetea NI waendesha bodaboda wamenununa simu ya smart wakaskia jamii forum wakajiunga
Mbona house girls wengi wako Facebook ila Instagram hawapo??
Tafakari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…