Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

Yaani MO kusaini zile karatasi tu tenda ikajipa! tafakari chukua hatua.
 
Yaani badilisheni hela zote zilizoko hazina kuwa mataruma ya reli,mabwawa, madaraja halafu muite ni maendeleo.
Chimbueni mafaili yote ya Nyerere ili mtimize ndoto zake Ila mjue mtaani hata mlo mmoja unataka kushindikana.
 
Not Yet Uhuru, yote anayofanya jiwe hayana faida kama hatuna uhuru wa kuwachagua viongozi tuwatakao.
Hiyo yenyewe ya kutokupa uhuru wa kuwachagua uwatakao ni faida tosha..maana uhuru bila mipaka ni vurugu..umpe nchi kichaa kama lema..si tutauzwa hadi raia..we la msingi sema umepewa uhuru wa kuishi popote na kuoa wake wowote..kizuri zaidi amewapa hadi uhuru wa kuzaa utakavyo..
 
Ujenzi unaanza lini ili tujipange kwenda kutafuta fursa
Mnasema mtakavyo mpaka mnatukana watu vya nguoni hiyo haitoshi kuwa demokrasia au mnataka kuachiwa mlale morogoro road kuanzia fire mpaka chalinze aah hiyo haiwezekani!
 
Zinatumika ela za ndani au mkopo?
 
ugomvi wa eneo la mo na stiegler's gorge mmeshaumaliza
 
Hongera JPM kwa ujasiri na hatua hii muhimu, hakika tunamahitaji makubwa ya sasa na viwanda halisia vijavyo.
 
Kwani kipi kilianza, MO kutekwa au mchakato wa ujenzi wa bwawa?
Mnakejeli kila jambo linalofanywa na serikali ya JPM. Sijui mfananishwe na nini?


Swali la msingi hapo ni mkopo umepatikana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…