Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

Ndugu yangu ule mradi ni wa mkopo na serikali imejikuta ina vipaumbele vingi kwa taifa na ni vyenye maslahi mapana kwa nchi yetu,ukumbuke always resources are limited hivyo ni ngumu kutekeleza yote at once No
 
Hapana Makamba hana uwezo tuacheni jamani bora apelekwe kwenye michezo na burudani
Inawezekana kabisa kweli hana uwezo, lakini je kwa hilo yeye angefanya nini? Sote tunajua namna JPM alivyokuwa fundi wa kupenda kufanya vitu vikubwa kwa bei chee. Kazi ya siku moja inafanyika kwa siku 10 na sio rahisi kuvunja mkataba naye na kutafuta mwingine maana ni gharama zaidi. Wewe ungependa Makamba afanye nini hapo?
 
Awe serious kdg, ana bariki vitu kupanda bei, wafanya biashara wanafanya wanavyotaka na yeye yupo tu
 
Awe serious kdg, ana bariki vitu kupanda bei, wafanya biashara wanafanya wanavyotaka na yeye yupo tu
Kwa mfano? Mbona kupanda kwa vitu ni pure business. Kwani mmesahau wakati ule wa pirates wa kisomali? Kwa uharamia wao meli ilibidi ziogope kusafirisha vitu au zitumie gharama kubwa za ulinzi na vitu vikapanda bei. Tanzania huko corona haikuwa Jambo kubwa ila kwa nchi zilizoendelea kila kitu ni kama kilisimama. Sasa kama watu walikuwa hawatoki ndani kwenda kuzalisha na demand haikuwepo, kea sasa demand imerudi kwa kasi, tinatarajia nini unadhani?
 
Hakuna kitu kama hicho, bei ya ng'ombe ipo pale pale lakini nyama buchani imepanda, mafuta alzeti, kila kitu isipokuwa bia pekee ndiyo haijapanda
 
Unaongea ushuzi mtupu
 
Who is sukuma ganga?

Wanawaita hivyo Watanzania wote wenye maoni tofauti na chawa, wanaotaka serikali imara, wanaojali maslahi ya umma, wanaopinga upigaji, ukanda,udini, ukabila, upendeleo wanaotaka uwajibikaji, mikakati madhubuti, wanaojali maisha ya Watanzania wengi.

75% ya Watanzania ukitoa vikundi vichache vidogo vyenye agenda zao binafsi na maslahi yao binafsi.
 
January alishalitolea ufafanuzi.Kama mlivyokuwa mnalishwa matango pori kuwa uchumi unakua kwa 7% ndivyo mlivyolishwa matango pori kuhusu progress ya Bwawa hilo.Sasa ni wakati wa kukabiliana na UKWELI.STAHIMILi (In Kipozeo voice)
 
Ujingaa kabsa.
 
Wewe unaishi nchi gani na unafuatilia vyombo gani vya habari?.

Tafuta story ya CAG alipokuwa anakabidhi taarifa kwa rais alafu njoo haraka urudie kuandika.
 
Una akili timamu?
 
Mkuu utaeleza lakini wenye kuamini a man kutoka Chato hawaelewi. Na watu wanajifanya wanajua Kila kitu kumbe no kulamu bcoz kwann jamaa amepewa uwaziri na urais.
 
Kuna mkataba wa ujenzi wa bwawa, waziri amezuia au amefanya mabadiliko?
Kazi za kitaalamu, waachiwe wenyewe.
Hizi siasa za kijinga za kutafuta sifa kijinga ndilo tatizo la msingi.
Wanasiasa husema uongo ili wapate sifa.
 
Tatizo la wa Tanzania siasa ilisha wameza sana
 
Makosa yalianzia kuzuia matumizi ya gesi kuzalisha umeme kama mikataba ilivokuwa mwanzo before JPM.

Mega projects kama JNHP haikamiliki kwa kasi ya zimamoto kama ya yale mabweni chakavu ya UDSM.
Rudisheni akili zenu vichwani mwenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…