sblandes
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 6,632
- 4,737
Kwani huyo January Makamba ndie alibuni,na kuazisha ujenzi wa huo mradi?January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati.
Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji?
Leo hii tungekamilisha JNHP kwa wakati tungesababisha bei ya umeme kushuka na hii ingesaidia kushusha gharama za uzalishaji kushuka na kusabisha bei za bidhaa kushuka.
Vita vya Ukraine hata kama vingeleta athari ingelikuwa kidogo sana.
Mradi haukufanyiwa upembuzi yakinifu ulitawaliwa na matamanio,tambo,propaganda badala ya uhalisia.
Hizi kelele za kumlenga Makamba sio sahihi.
Muulize aliyetoka alete mchanganuo toka day one.Kama aliweza kusahau hata emergency power supply sasa alikuwa anasimamia nini?
Garbage in garbage out.
Let's go back to the basic.