Bwawa la umeme la JNHP lingekamilika mapema hizi athari za vita vya Ukraine visingetuathiri kwa kiasi kikubwa. Uzembe wa January Makamba unatugharimu

January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati.

Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji?

Leo hii tungekamilisha JNHP kwa wakati tungesababisha bei ya umeme kushuka na hii ingesaidia kushusha gharama za uzalishaji kushuka na kusabisha bei za bidhaa kushuka.

Vita vya Ukraine hata kama vingeleta athari ingelikuwa kidogo sana.
Kwani huyo January Makamba ndie alibuni,na kuazisha ujenzi wa huo mradi?
Mradi haukufanyiwa upembuzi yakinifu ulitawaliwa na matamanio,tambo,propaganda badala ya uhalisia.
Hizi kelele za kumlenga Makamba sio sahihi.
Muulize aliyetoka alete mchanganuo toka day one.Kama aliweza kusahau hata emergency power supply sasa alikuwa anasimamia nini?
Garbage in garbage out.
Let's go back to the basic.
 
Mkuu kwamba yale maji yangegeuka petrol na diesel ?
 
Kama hujui kusoma na kuchambua mambo kaa kimya
Haujaninijibu Mkuu wa kazi samahani lakini...ukinijibu nitakufundisha namna nzuri ya kuhusianisha mada na matukio ili kuweza kujenga hoja, hivi bei ikishuka ya uzaalishaji which is right lakini transportation of both goods and people ikapaa unakuwa umeachieve nini Mkuu?
Au ukizalisha kiwandani mizigo inajituma kwa suppliers and customers.
 
January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati.

Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji?

Leo hii tungekamilisha JNHP kwa wakati tungesababisha bei ya umeme kushuka na hii ingesaidia kushusha gharama za uzalishaji kushuka na kusabisha bei za bidhaa kushuka.

Vita vya Ukraine hata kama vingeleta athari ingelikuwa kidogo sana.
Aliyemwelewa huyu sukuma gang anitag
 
Hakuna mradi mkubwa wa miundombinu inayokamilika kwa wakati dunia nzima. Cheki hata bwawa la umeme la Ethiopia ambalo limezinduliwa mwaka huu, limechelewa kwa miaka mingi tu.
 
Mnapoteza muda kujadiliana humu. Ule mradi ni white elephant.
White elephant oyeee!
 
Hiki kitu msitarajie kwamba kitakuja kisemwa hadharani na hata kama kitasemwa je mtakiamini? Serikali inalipa kwa wakati pesa na haidaiwi sasa si mjiulize kama shida ni Samia au January au nani?
Tanesco ya januari na maharage wanapomkatia umeme mkandarasi unatarajia afanyeje kazi? Serikali inalipa kwa wakati, tanesco inakata umeme, sasa tunadaiwa billion 18, hizo pesa mtazilipa wewe na januari? Huo kama siyo kumhujumu Rais na serikali yake ni nini?
Unnaleta utetezi wa kishamba sana.
 
..mradi wa LNG usingesimamishwa na Magufuli sasa hivi Tanzania ingekuwa inafaidika kwa kuuza gesi kwa nchi zilizoiwekea vikwazo Urusi.
Sasa tungefaidika na nini kama gesi yote walipewa wachina kwa mikataba ya kimangungo
 
Mwambieni wajenzi wa bwawa la Nyerere wanatudai kwa sababu ya ukaidi wake, mara mnanionea wivu nk.

Kukatika katika kwa umeme bila jambo la msingi, alipe deni hilo siyo aje amsingizie marehemu 😐.
Dude, wajenzi wa Bwawa la Nyerere hawadai hata Shilingi. Msiandike kwa hisia nendeni site mkaone. Bwawa liko nyuma kwa sababu mkandarasi mmojawapo aliyepitishwa na Malaika hana uwezo wa kujenga kwa kasi inayohitajika. FULL STOP. Taarifa hii mngeambiwa mngeona ni kumponda Malaika wenu kumbe ndio ukweli halisi.
 
Sasa tungefaidika na nini kama gesi yote walipewa wachina kwa mikataba ya kimangungo
Wewe uliona hiyo mikataba kuwa gesi walipewa wachina? Watanzania mna vichwa mavi kabisa. Sasa kama kuna mikataba kuwa gesi yote walipewa wachina hayo majadiliano ya kujenga LNG yanayoendelea hao watu watamtumia Gesi gani?
 
January Makamba kama waziri mwenye dhamana ya nishati hapa nchini alipaswa kukomaa kwa hali na mali kuhakikisha JNHP inakamilika kwa wakati na ikiwezekana hata kabla ya wakati.

Kwa nini bila sababu za msingi alileta mizengwe juu ya ujazaji maji na kuchepusha maji?

Leo hii tungekamilisha JNHP kwa wakati tungesababisha bei ya umeme kushuka na hii ingesaidia kushusha gharama za uzalishaji kushuka na kusabisha bei za bidhaa kushuka.

Vita vya Ukraine hata kama vingeleta athari ingelikuwa kidogo sana.
January ni mpiga dili wala hana lolote
 
Dude, wajenzi wa Bwawa la Nyerere hawadai hata Shilingi. Msiandike kwa hisia nendeni site mkaone. Bwawa liko nyuma kwa sababu mkandarasi mmojawapo aliyepitishwa na Malaika hana uwezo wa kujenga kwa kasi inayohitajika. FULL STOP. Taarifa hii mngeambiwa mngeona ni kumponda Malaika wenu kumbe ndio ukweli halisi.
Hapana Makamba hana uwezo tuacheni jamani bora apelekwe kwenye michezo na burudani
 
Back
Top Bottom