Sahihi kabisa,huyu mzee yupo vizuri kichwaniBwege ni mkweli mno. Kwa kiufupi amesema hivi:-
A. Chadema ndiyo chama pendwa na chenye nguvu zaidi nchini kwa sasa kuliko vyama vyote .
B. Hata bila ruzuku chadema itaendelea kustawi kwakuwa inachangiwa na kila mtanzania mpenda haki.
C. ACT wanafiki, inaomba haki badala ya kuidai haki kama wafanyavyo chadema.
D. Haifiki mwezi wa 8 Mbowe atajionesha rangi yake
Sijapinga hayo maneno.Bwege ni mkweli mno. Kwa kiufupi amesema hivi:-
A. Chadema ndiyo chama pendwa na chenye nguvu zaidi nchini kwa sasa kuliko vyama vyote .
B. Hata bila ruzuku chadema itaendelea kustawi kwakuwa inachangiwa na kila mtanzania mpenda haki.
C. ACT wanafiki, inaomba haki badala ya kuidai haki kama wafanyavyo chadema.
D. Haifiki mwezi wa 8 Mbowe atajionesha rangi yake
Kwa ukweli huu namtakia baraka tele huyu Mzee wa watu.Dar es Salaam,
Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio wanasubiri huruma za CCM kama watapewa jimbo moja au wasipewe hawana namna.
"Duniani kote tangu enzi za Adam,Ibrahim,Yesu na Mohammad haki haiombwi hudaiwa" Sijui unanielewa sijui unanielewa"alisema.
"Sisi ACT tunasema sijui usimuachie mwizi shamba,kwani si tumekuwepo tangu 2019,2020 na 2024 tuliambulia nini?sisi tunasubiri huruma tu ya CCM.
Aliongeza kusema hata kama Chadema haitashiriki,wakaweza kuishi miaka mitano bila ruzuku ikifika 2030 Chadema kitakuwa ndio chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania,"Na hawa jamaa ni wajanja,walijua kabisa njia wanaypita ni ngumu,wakaanzisha tonetone na watavuka bila hata ruzuku,mbona wakati vyama vinaanzishwa hakukuwa na ruzuku" alihoji.
Pia aliongeza " na tayari Kanisa na msikiti vinawaunga mkono,mtu yoyote mwenye akili atawaunga mkono,hata Mimi nawaunga mkono,sio kwamba nahama ACT hapana,ila nawaunga mkono sababu wanapigania haki yetu wote wala sina mpango wa kuhama chama"
Alipoulizwa juu ya Ukimya wa Mbowe akasema"Unajua hata yeye hakutegemea kushindwa na Lissu,imekuja ghafla tu,kwahio kukaa kimya ni sahihi ili ajue anarudijerudije au anatokakajetokaje" ila siasa inamuhitaji.
Sasa kama amewatanguliza watoto wake kama bata yeye anakuja nyuma tutajua maana kuna watoto wameenda chama fulani, kwahio tutajua kama ni bata kawatanguliza watoto au ni kuku,tutajua tutajua tu,haifiki mwezi wa nane tutajua lakini siasa inamuhitaji."
Kwa sasa Mheshimiwa Bwege anasema tutegemee kumuona jukwaani akiwanadi wagombe wa chama chake katika jimbo la Kusini kwakua yeye ni kiongozi na tayari wanachama wameanza kuchuakua fomu.
Akizungumzia afya yake Mh.Bwege amesema Kwa sasa anaishi Kigamboni ili kuwa karibu na hospitali kwani anahitaji kusafishwa figo mara tatu kwa wiki kwani figo zake zimefeli na anahitaji kubadilisha akipata,Ikumbukwe pia alishakatwa mguu mmoja kutokana na kupata kidonda kisichopona sababu ya kisukari hivyo kulazimika kukatwa mguu.
Tuendelee kumuombea.
#NRNE#
Kaongea point kubwa na zenye mashiko,chama si lazima kiishi kwa ruzuku,wanachama wanatosha sana kuchangia na mambo yakaenda vizuri tu.Dar es Salaam,
Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio wanasubiri huruma za CCM kama watapewa jimbo moja au wasipewe hawana namna.
"Duniani kote tangu enzi za Adam, Ibrahim, Yesu na Mohammad haki haiombwi hudaiwa" Sijui unanielewa sijui unanielewa"alisema.

Tumechoka kutumika kama mazuzuDar es Salaam,

Unaweza ukafikiria mtu ambaye wananchi wake wanateswa na wengine kuuwawa na bado anataka wananchi waswagwe tena kwenye mazingira yale yale.Bwege yuko sahihi sana, yeye alikuwa ni mbunge ambaye wananchi wake wengi mno walipata mateso makubwa zaidi ya kutekwa kuuawa huko mikoa ya kusini. Kwa hiyo namuelewa sana anapotaka haki idaiwe siyo iombwe!
Mi nilijua tuu hapa ACT hatutoboiAkihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio wanasubiri huruma za CCM kama watapewa jimbo moja au wasipewe hawana namna.
"Duniani kote tangu enzi za Adam, Ibrahim, Yesu na Mohammad haki haiombwi hudaiwa" Sijui unanielewa sijui unanielewa"alisema.
"Sisi ACT tunasema sijui usimuachie mwizi shamba,kwani si tumekuwepo tangu 2019,2020 na 2024 tuliambulia nini?sisi tunasubiri huruma tu ya CCM.
Aliongeza kusema hata kama Chadema haitashiriki,wakaweza kuishi miaka mitano bila ruzuku ikifika 2030 Chadema kitakuwa ndio chama chenye nguvu zaidi hapa Tanzania,"Na hawa jamaa ni wajanja,walijua kabisa njia wanaypita ni ngumu,wakaanzisha tonetone na watavuka bila hata ruzuku,mbona wakati vyama vinaanzishwa hakukuwa na ruzuku" alihoji.
Pia aliongeza " na tayari Kanisa na msikiti vinawaunga mkono,mtu yoyote mwenye akili atawaunga mkono,hata Mimi nawaunga mkono,sio kwamba nahama ACT hapana,ila nawaunga mkono sababu wanapigania haki yetu wote wala sina mpango wa kuhama chama"
Alipoulizwa juu ya Ukimya wa Mbowe akasema"Unajua hata yeye hakutegemea kushindwa na Lissu,imekuja ghafla tu,kwahio kukaa kimya ni sahihi ili ajue anarudijerudije au anatokakajetokaje" ila siasa inamuhitaji.
Sasa kama amewatanguliza watoto wake kama bata yeye anakuja nyuma tutajua maana kuna watoto wameenda chama fulani, kwahio tutajua kama ni bata kawatanguliza watoto au ni kuku,tutajua tutajua tu,haifiki mwezi wa nane tutajua lakini siasa inamuhitaji."
Kwa sasa Mheshimiwa Bwege anasema tutegemee kumuona jukwaani akiwanadi wagombe wa chama chake katika jimbo la Kusini kwakua yeye ni kiongozi na tayari wanachama wameanza kuchuakua fomu.
Akizungumzia afya yake Mh.Bwege amesema Kwa sasa anaishi Kigamboni ili kuwa karibu na hospitali kwani anahitaji kusafishwa figo mara tatu kwa wiki kwani figo zake zimefeli na anahitaji kubadilisha akipata,Ikumbukwe pia alishakatwa mguu mmoja kutokana na kupata kidonda kisichopona sababu ya kisukari hivyo kulazimika kukatwa mguu.
Tuendelee kumuombea.
#NRNE#
Hahaha. Nakumbuka wakati chadema kina lisu wanaanza NO REFORMS NO ELECTION. Zitto naye alizindua kampeni huko. Lindi.Bwege ni mkweli mno. Kwa kiufupi amesema hivi:-
A. Chadema ndiyo chama pendwa na chenye nguvu zaidi nchini kwa sasa kuliko vyama vyote .
B. Hata bila ruzuku chadema itaendelea kustawi kwakuwa inachangiwa na kila mtanzania mpenda haki.
C. ACT wanafiki, inaomba haki badala ya kuidai haki kama wafanyavyo chadema.
D. Haifiki mwezi wa 8 Mbowe atajionesha rangi yake
Act ni zao la bwana waleeeMi nilijua tuu hapa ACT hatutoboi
Ndio maana pamoja na Kuwa na Changamoto za Kiafya bado Mungu amemweka na kumpa nguvu.Bwege ni msema kweli sana.
Hana uoga.
Nimemfahamu miaka ile akiwa mbunge wa Kilwa wakati tunafanya utafiti wa mafuta na gas huko.
Alikuwa anazuga tu.....mtu ambaye Wafuasi wake walipigwa sana na wengine kupoteza maisha lakini anataka warudi kwenye mazingira yale yale aisee dunia hii tumedanganywa sana.Hahaha. Nakumbuka wakati chadema kina lisu wanaanza NO REFORMS NO ELECTION. Zitto naye alizindua kampeni huko. Lindi.
Iliishia wapi anajua zito na kikundi chake