CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo timu miaka na miaka inachezaga hivyo hivyo kwakuruka ruka kwa bahati ila ikishavuka makundi utaikuta fainali.
Na inachukua kombe kabisaa, huu mwaka kila mtu alijua leo hii Mamelody ndo anaondoka na mwalii, ila daaaah hata final hajagusa.
 
Al Ahly chupu chupu waondoshwe ktk makundi, eti leo anabebaa kombee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Soka ni mchezo wa kikatili sanaa. Daaaaah.
Argentina akafungwaga na saudia Arabia


Soka πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Argentina akafungwaga na saudia Arabia


Soka [emoji119][emoji119][emoji119]
Ile siku nilikuwa nachekaa balaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kubwa kuliko, 2014 WC, German vs Brazil, Brazil alipigwa 7, japo hizo zote ni team zangu, ila nilikua nahisi ni ndotooooo, yaan nilikuja kuamini baada ya michuano kuisha.
 
Hiki kiherehere ungekitumia vizuri mngekua fainali leo
 
Aisee zile 7up zitakaaga nizisahau. Brazil akiwa ndiye ame host world cup. Mbele ya mashabiki wake uwanja mzima
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…