CAF Champion league Second Leg Final: Wydad Ac 1-1 Al Ahly Sc |Mohammed V

Kwa kauli ya Hersi kasema wao lengo lao mwakani ni kuingia makundi.Hili sio kombe la losers.Wakiingia makundi Utopolo watakuwa wamefikia lengo na wamejitahidi sana.Miaka miwili mfululizo wameangukia pua.
Hawana timu ya kuingia makundi kule hakuna washuka daraja
 
Mwakani muda kama huu insha Allah! mtakuwa mnawaangalia Wananchi. Hivyo dua zenu ni muhimu sana.
 
Natazama mbungii, natamani al ahly achukue.
Hawa wydad walituto quarter final aaaaaah.
Hapana bora abebe Wydad ili hawa Al Ahly wapate uchungu wakawashinikize CAF kufuta goli la ugenini. Al Ahly wana nguvu kubwa pale Caf. Misri walisimika mizizi Caf kitambo.
 
Jamaa watajuta kwanini wasiwe na Final moja..maana sgughuli ilikuwa imeisha
Walishinda kwasababu walikuwa kwao kwenye mazingira waliyoyazoea, hata Waydad leo wanacheza kwao kwenye mazingira waliyoyazoea, mbona stuation ni FAIR kabisa.

Ambacho hakiko FAIR ni goal la ugenini, lifutwe ili kila mtu ashinde mechi zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…