CAF Confederation Cup yafutwa. Msimu ujao kutakuwa na mashindano mawili tu

MFano yanga na simba wana vigezo vya kushiriki AFL na ndio top 2 ya ligi kuu maana yake uko CAF ataenda Azam alieshika nafasi ya tatu?
Ndio itakuwa hivyo kwavile AFL ndio itakuwa ndio ngazi kubwa ya mashindano ya CAF upande wa vilabu
 
Ndio itakuwa hivyo kwavile AFL ndio itakuwa ndio ngazi kubwa ya mashindano ya CAF upande wa vilabu
Kwa upande wangu naona hii haijakaa sawa washiriki wanaoshindania ubingwa wa Afrika inatakiwa wapatikane kulingana na nafasi walizoshika katika ligi zao msimu uliopita kwa mchakato wa kupatikana washiriki AFL maana yake azam akichukua ubingwa hawezi kushiriki mashindano ya kumtafuta bingwa wa jumla katika ligi zote maana kigezo cha point kitamnyima nafasi ya kushiriki, kuna maana gani sasa ya kuwa na ligi kuu? Sijui nani alikuja na huu utaratibu wa kuangalia point za misimu mitano nyuma ni utaratibu wa ovyo yaani kama timu sasa hivi ni mbovu ipewe ushiriki kwa sababu kwenye interval ya miaka 3-5 iliyopita ilikua vizuri., Ridiculous.!
 
Hatimaye CAF wamefuta hili kombe kuna timu ya ajabu kweli ilicheza hadi fainali.

Sasa hivi zile medali hazina tofauti na shanga za wamasai
 
Hatimaye CAF wamefuta hili kombe kuna timu ya ajabu kweli ilicheza hadi fainali.

Sasa hivi zile medali hazina tofauti na shanga za wamasai
 

Attachments

  • 5692151-9ec768df2b72c86c86c28765da649f3d.mp4
    1 MB
Wazungu waliona huu ni upuuzi ndio maana hadi wakaandamana yafutwe. This is Nonsense Tournament.
 
Ukiwa na akili timamu utagundua CAF wamefanya wrong kwenye hili jambo la AFL. Kama kweli walikuwa na nia ya dhati kuendeleza mpira walitakiwa waongeze mzigo huku kwenye Champions League. Hii maana yake Mkubwa ataendelea kuwa Mkubwa na Mdogo ataendelea kuwa Mdogo.

Wazungu waliliona hili jambo mapema wakalipinga hadi kwa Maandano. Ila Afrika kama mnavyojua ndio uwanja wa majaribio.
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia zote, na mbaya zaidi unakuta Simba ni ya 5 mfano inaenda kukutana katika mashindano na timu inayoshika nafasi ya 30 au 20+ kwavile tu nayeye kawakilisha zone yake.
 
Ushauri wangu ni bora mambo yangekuwa hivi

AFL
Caf champions league
Caf Confederation cup

Kwenye hiyo AFL wapambane wale wenye rank kubwa kwenye champions league mfano (waliocheza fainali) mshindi wa kwanza na wa pili na wengineo kama watakavopanga.

Caf champions league iwe ni ya wale walioshika nafasi ya kwanza na ya pili kwenye ligi zao. Kama wote wawili watakuwa kwenye AFL bc aliyeshika nafasi ya kwanza atabaki AFL na wa pili atarudi champions league na watatu nae atashiriki champions ikiwa kama bingwa wa ligi atacheza AFL (rejea hapo juu kwenye AFL)

Caf confederation cup iwe ya walioshika nafasi ya tatu na nne kwenye ligi zao. Ikiwa mshindi wa tatu atakuwa anacheza champions bc nafasi ya nne na tano watacheza confederation.
 
Hapo michuano ipi inakuwa ndilo kubwa?
 
Haya mashindano ya AFL mi naona imekaa kibiashara zaidi na inajenga madaraja kati ya timu na timu
 
Hii Super league sijui AFL imekuja kutibua kila kitu ndio maana kule Ulaya waliikataa pamoja na kuweka dau nono
 
Mmmmh mkuu yani haipaswi timu kushiriki mashindano yote mawili ilhali zinatizamwa timu zenye rank ya juu!?
AFL inaanza kabla ya CAFCL.
Rekebisha maelezo mkuu.
Mamelody ndio mshindi wa AFL na sasa yupo nusu fainali CAFCL.
 
Gharama za kuendesha mashindano ni kubwa sana CAF haitaweza kumudu mashindano yote hayo, mimi naona iyo AFL isingekuwepo tu tubaki na utaratibu ule ule wa champions league na confederation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…