CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

CAF Confederation: Kikosi cha Yanga imeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids, yafungwa 3 kwa 0

Jamani hivi kuna mtu alipata kadi? Mbona nàona mwishoni kama yanga walikua pungufu hivi.
 
November 3 , 2019

80' minutes score board reads :

Pyramids FC 2 - 0 Young Africans

Source: Mon Dregy
 
#CAFCC

FT

Pyramids 3 -0 Yanga SC

FB_IMG_1572788986260.jpg
 
mashabiki wa simba wamekasirika rekodi yao ya mabao 5 haijavunjwa teh teh simba ndio timu iliyoiletea nchi aibu
 
mashabiki wa simba wamekasirika rekodi yao ya mabao 5 haijavunjwa teh teh simba ndio timu iliyoiletea nchi aibu
Hongereni sana Yanga kwa kufanikiwa kuwatoa waarabu. Mmetutoa kimasomaso.

Mwakani hakuna mbeleko, kila mtu ashinde mechi zake.
 
Na hii ilikuwa mtoano tuu sijui ingekuwa makundi ingekuwajee

Katolewa CAF Kaja na confederation kapokea kipigo tuu
 
“Hatukuwa na mpango wa kuwa na wachezaji kama wa Pyramids, nilimuuliza yule kocha wao kwa nini ameacha timu ya taifa na kwenda kwenye klabu ile.

“Alinieleza kwamba walimpa ofa kubwa ambayo asingeweza kuikataa, wana viwanja vitano vya mazoezi, wanatumia ‘playertek gps vest’ kwa ajili ya kujua ufanyaji kazi wa kila mchezaji.

“Unajua bei ya GPS moja inafika dola 25000 sasa utaenda kupambanisha na Yanga, inafaa kufikiri, waache kulalamika, timu kubwa kwa jina na mambo yanayofanyika ni tofauti Kocha Zahera
 
Hayawi hayawi hatimae yamekuwa,Meza imeshindikana kupinduliwa sana Yanga kapigwa nyingine 3-0 na kuhitimisha makeke yao kwa kupigwa jumla ya goli 4-1.Yanga mpira hauchezwi mdomoni .
Screenshot_20191103-231246_Chrome.jpeg
 
“Hatukuwa na mpango wa kuwa na wachezaji kama wa Pyramids, nilimuuliza yule kocha wao kwa nini ameacha timu ya taifa na kwenda kwenye klabu ile.

“Alinieleza kwamba walimpa ofa kubwa ambayo asingeweza kuikataa, wana viwanja vitano vya mazoezi, wanatumia ‘playertek gps vest’ kwa ajili ya kujua ufanyaji kazi wa kila mchezaji.

“Unajua bei ya GPS moja inafika dola 25000 sasa utaenda kupambanisha na Yanga, inafaa kufikiri, waache kulalamika, timu kubwa kwa jina na mambo yanayofanyika ni tofauti Kocha Zahera
Mechi ya leo sina shida na kocha, wachezaji wametuangusha, golimbili za kwanza nimakosa ya timu nzima Kufungwa magoli ndani ya Yard 6 tena mpira ambao kipa amesha ucheza au kona unafungwa na kijitu chenye urefu wa futi tano ni aibu kama wachezaji.
Goli la tatu ni uzembe pia wa wachezaji, mnajua kabisa beki tegemeo amesha umia ametoka, timu nzima imepanda kulazimisha goli , Balama katandika shuti beki wa Pyramid ume mbabua Mkonon ndani ya 18 refa hajatoa penati bado wachezaji wanahangaika na refa badala ya kurudi kwenye maeneo yao ya kukaba. Matokeo yake jamaa wana piga counter wanajipatia goli bila jasho.
 
Fresh tu, kuna ile timu ya vikongwe juzi hapa wamefungwa na Mwadui leo eti nao wanatucheka.
Bora sisi tumepanda ndege hadi Misri nyie endeleeni kupanda hiyo KIMOTCO yenu iliyojaa kunguni.
Kwa wale Ndugu zangu wa Club De Internationale le Athletic Dar es Salaam Young Africans gonga like hapa tujuane.
 
Back
Top Bottom