Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ni lini Simba Sc iliingia makundi kisha ikashindwa kuendelea..? Simba Sc ilitabiriwa kila mwaka kutopita hii hatua tena ikiwa na team vigogo kwelikweli ila ikapita, leo uje kusema Simba Sc hapiti kwenye kundi uji namna hii..?Kama ilivyotabiriwa na wengi! Naona safari ya Mikia Fc kushika mkia kwenye kundi lao, imewadia! Hakuna pa kutokea msimu huu. Na tusisikie tena zile kelele zenu za kumkataa kocha.
Simba Sc atakwama kwenye robo huko, sio hii hatua.