CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Kama ilivyotabiriwa na wengi! Naona safari ya Mikia Fc kushika mkia kwenye kundi lao, imewadia! Hakuna pa kutokea msimu huu. Na tusisikie tena zile kelele zenu za kumkataa kocha.
Ni lini Simba Sc iliingia makundi kisha ikashindwa kuendelea..? Simba Sc ilitabiriwa kila mwaka kutopita hii hatua tena ikiwa na team vigogo kwelikweli ila ikapita, leo uje kusema Simba Sc hapiti kwenye kundi uji namna hii..?


Simba Sc atakwama kwenye robo huko, sio hii hatua.
 
Kama Yanga tutapasua makundi, basi fainali inatuhusu mwaka huu.

Kwaupande wangu kundi D ndio kundi la kifo.
Mungu ijaalie Yanga, [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Kimpira ndio kundi nzuri ukiweka mkakati wa kupiga yeyote yule kwenye home ground umetobowa, hapa zinahitajika hesabu tu.

Hao Al Ahaly kwa Waarabu wenzao huwa wanakarishwa tu, utashangaa msimamo wa kundi Al Ahaly ukikuta anapigania nafasi ya Pili.
 
Ni lini Simba Sc iliingia makundi kisha ikashindwa kuendelea..? Simba Sc ilitabiriwa kila mwaka kutopita hii hatua tena ikiwa na team vigogo kwelikweli ila ikapita, leo uje kusema Simba Sc hapiti kwenye kundi uji namna hii..?


Simba Sc atakwama kwenye robo huko, sio hii hatua.
Kumbe mnajijua mtakwa kwenye robo,aahaaaaaa
 
Ukiangalia hapa je unaona kuliwahi tokea matokeo ya mtu kupigwa 5-0? [emoji1787]
Screenshot_20231006-165034~2.jpg
 
Jifunze kumuheshim mpinzani,huyo huyo aikupiga tatu kwa Mkapa.

Nishashinda kweny ardhi ya Waarabu mara mbili, ikiwemo USM Algers ambaye alimpiga Al Ahly kwenye mechi ya bingwa wa shirikiso na championship.

Tusiongee sana tukutane uwanjani.
Elewa kwamba mechi za makundi hazichezwi kama zile za mtoano.
 
Kila nikikumbuka Simba anapigwa na Raja alafu utopolo anakuja kumfunga kibonde anayeshuka daraja alafu kelele kibao eti tumeiheshimisha nchi .. pumbavu zenu ngojeni mtiwe adabu kwanza
 
Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.

Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.

Kaa hapa kupata updates zaidi.

Updates

Makundi ya Shirikisho

CAF CL
  1. USMA
  2. FUTURE
  3. SUPERSPORT
  4. Al HILAL
Group B
  1. ZAMALEK
  2. SaGRADA
  3. S.O.AR (GUI)
  4. ABU SALIM
Group C
  1. RIVERS UNITED
  2. CLUB AFRICAIN
  3. DREAMS FC
  4. APC LOBITO
Group D
  1. RS BERKANE
  2. DIABLES NOIRS (CGO)
  3. STADE MALIEN
  4. SEKHUKHUNE UNITED
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW

GROUP A
  1. MAMELODY
  2. PYRAMIDS
  3. TP MAZEMBE
  4. FC NOUADHIBOU (MTN)
Group B
  1. WYDAD
  2. SIMBA
  3. ASEC MIMOS
  4. JWANENG GALAXY
Group C
  1. E.S.T
  2. ATLETCO PETROLIAS
  3. AL HILAL
  4. EPERENCE TUNIS
Group D
  1. AL AHLY
  2. CR BELOUUIZAD
  3. YANGA
  4. MEDEAMA FC
Naiona Robo Fainali kwa timu zetu zote mbili.
Kwa mara ya kwanza tunapeleka timu mbili Robo Fainali. Ingawa nina wasiwasi sana na kundi alilopo Simba
Ningeomba Mungu kwa ajili ya hili, sema tumezidi sana uovu...isomeke tu kuwa ikimpendeza basi na iwe nitakavyo.
 
Back
Top Bottom