CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Mimi Simba damu hakuna kundi rahisi hata kidogo.
Makundi yote ni magumu.
Msiichukulie poa Asec Mimosa na ,waidad Casablanca.
Simba inahitaji kujipanga Kweli.
Tuliwahi kushinda goli mbili huko ugenini Botswana, wakaja kutupiga Tatu kwa mkapa.
 
Kama Yanga tutapasua makundi, basi fainali inatuhusu mwaka huu.

Kwaupande wangu kundi D ndio kundi la kifo.
Mungu ijaalie Yanga, [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
 
Tuache utani usiokuwa na faida, Simba na Yanga wakiwa na kauli mbiu ya kila mtu ashinde mechi zake wote wanaingia robo fainali.

Kanuni ya group stage usikubali kufungwa Nyumbani, make sure hata awe nani anaacha point zote 3 maana yake unabeba point 9, mechi za nje hata ukipata drop moja unakwenda robo fainali, hii hesabu Al Ahaly ndio wanaiishi, ndio sababu huwakosi kwenye robo fainali.
Yanga hatuna iyo mentality. Sisi tunakupigia mpira kwako na kwetu hatunaga uwanja wa away kama unabisha waulize tp mazembe
 
Kama Yanga tutapasua makundi, basi fainali inatuhusu mwaka huu.

Kwaupande wangu kundi D ndio kundi la kifo.
Mungu ijaalie Yanga, [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
 
Mimi Simba damu hakuna kundi rahisi hata kidogo.
Makundi yote ni magumu.
Msiichukulie poa Asec Mimosa na ,waidad Casablanca.
Simba inahitaji kujipanga Kweli.
Tuliwahi kushinda goli mbili huko ugenini Botswana, wakaja kutupiga Tatu kwa mkapa.
Tatizo la simba huwa wanawahi kuridhika saaana, inakera kinoma
 
Back
Top Bottom