CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW

1: GROUP A
MAMELODY
PYRAMIDS
TP MAZEMBE
FC NOUADHIBOU (MTN)

2: Group B
WYDAD
SIMBA
ASEC MIMOS
JWANENG GALAXY

3: Group C
E.S.T
ATLETCO PETROLIAS
AL HILAL
EPERENCE TUNIS

4: Group D
AL AHLY
CR BELOUUIZAD
YANGA
MEDEAMA FC

NB. Mshindi WA kwanza na WA pili ndio wanakwenda Robo fainali.
 
Ila simba inatubidi tukaze tufike mbali ili kumaintain position ya kuwa pot namba 2 au namba moja huwa na faida zake kwenye upangaji wa makundi bila shaka mmeona kilichomkuta ndugu yetu wa damu bwana UTO
 
We sema ni kundi rahisi au gumu!?
 
Belouizdad ni timu ya Algeria... Hua inafanya vizuri kwenye michuano ya CAF japo sina kumbukumbu kama ishawahi kuchukua kombe...
Mbabe wao ni Us Alger Yule tuliyempiga kwao Fainali... Kwa sasa yupo nafasi ya Chini kwenye ligi Yao kifupi msimu huu hayuko Moto kama last season ambapo alikua bingwa... tukijichanga vizuri tuna point 4+ kwake...
Asante sana
 
Back
Top Bottom