Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Ngumu kidogo au gumu kabisa,be specificNdugu zetu wameangukia kundi moja ngumu kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngumu kidogo au gumu kabisa,be specificNdugu zetu wameangukia kundi moja ngumu kidogo
Sio mbali kwa kweli ngoja tusubiriNovember siyo mbali mbona,tutaona
Hiyo ya Kwanza na Ya Pili ndio zinaingia kota fainoPoint 9 nyumbani point 4 ugenini View attachment 2773628
Wakimgunga CR wanatoboa maana nae sio timu ngumu kivileSimba itavuka na Wydad hilo halina ubishi
Ishu ipo kwa majirani zetu
Ni kundi ngumu.Ngumu kidogo au gumu kabisa,be specific
Nchi ina watu washamba kama nguruweWabongo wameshindikana kwenye page za caf
Aahaaaaa,utafikiri ushazichezesha kwenye play station yakoHiyo ya Kwanza na Ya Pili ndio zinaingia kota faino
Sahihi kabisa. Kundi D pot 1 Hadi 4 ni za Moto. Simba akicheza Mechi vizuri na Asec anamaliza mchezo.Huyo akili zake tunazijua. Hapo Simba ndio ana ahueni. Kundi D ni gumu
We sema ni kundi rahisi au gumu!?Ila simba inatubidi tukaze tufike mbali ili kumaintain position ya kuwa pot namba 2 au namba moja huwa na faida zake kwenye upangaji wa makundi bila shaka mmeona kilichomkuta ndugu yetu wa damu bwana UTO
Hao sio Zalan FCPoint 9 nyumbani point 4 ugenini View attachment 2773628
Ndg zako ni akina nani?Ndugu zetu wameangukia kundi moja ngumu kidogo
Naomba profile ya CRWakimgunga CR wanatoboa maana nae sio timu ngumu kivile
Mimi ni jamaa yako kutoka wapi? Changia mada. Acha kulazimisha urafiki na watu usio wafahamu.Ila wewe jamaa ni mzima kweli kichwani samahan kwa kutumia lugha hii
Madeama na hasira nao walitufunga enzi zile 2016 tulikua nao kundi moja shirikisho...Point 9 nyumbani point 4 ugenini View attachment 2773628
Asante sanaBelouizdad ni timu ya Algeria... Hua inafanya vizuri kwenye michuano ya CAF japo sina kumbukumbu kama ishawahi kuchukua kombe...
Mbabe wao ni Us Alger Yule tuliyempiga kwao Fainali... Kwa sasa yupo nafasi ya Chini kwenye ligi Yao kifupi msimu huu hayuko Moto kama last season ambapo alikua bingwa... tukijichanga vizuri tuna point 4+ kwake...
Tusiandikie mate mkuusisi tushawahi shinda mechi Algeria na Tunisia, yani Kwa kifupi huwa tunashinda popote.
Point 9 nyumbani point 4 ugenini View attachment 2773628
Naiscreenshot hii replyNi kundi ngumu.
Mkitoboa Robo, Nyie ndio mabingwa wa Mwaka Huu