Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Aaahaaaaaaa a,Sawa bloangu,🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaahaaaaaaa a,Sawa bloangu,🤣🤣🤣🤣🤣
Time will tell.Naona kwa Simba njia ni rahisi sana
Tunashukuru sana kwa kukiri kuwa kundi la Yanga ni gumu, sasa Yanga ikifuzu msije na lugha nyingineYanga wameumaliza mwendo.. Simba hapo timu zote tatu tunazijua tumecheza nao na tuliwamudu. Sasa jamaa zangu miaka 25 halafu anakutana na kundi gumu kama hili?
Mmeanza ramli,aahaaaaaGongowazi hana chake, huku hakuna washuka daraja so ile slop haipo tena
🚮Huyo akili zake tunazijua. Hapo Simba ndio ana ahueni. Kundi D ni gumu
sio dume ni jimbwa jike kabisaWe ni umbwa tayari
Kwani yanga hajawah kukutana na Al ahly na medeama??SIMBA timu zote aliishakutana nazo. Hapo sasa
Nashukuru wote wamekili kuwa kundi letu ni gumu siyo tuanze kushinda waanze oooh kibondeTunashukuru sana kwa kukiri kuwa kundi la Yanga ni gumu, sasa Yanga ikifuzu msije na lugha nyingine
Aahaaasasio dume ni jimbwa jike kabisa
KumekuchaMajira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Updates
Makundi ya Shirikisho
CAF CL
Group B
- USMA
- FUTURE
- SUPERSPORT
- Al HILAL
Group C
- ZAMALEK
- SaGRADA
- S.O.AR (GUI)
- ABU SALIM
Group D
- RIVERS UNITED
- CLUB AFRICAIN
- DREAMS FC
- APC LOBITO
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW
- RS BERKANE
- DIABLES NOIRS (CGO)
- STADE MALIEN
- SEKHUKHUNE UNITED
GROUP A
Group B
- MAMELODY
- PYRAMIDS
- TP MAZEMBE
- FC NOUADHIBOU (MTN)
Group C
- WYDAD
- SIMBA
- ASEC MIMOS
- JWANENG GALAXY
Group D
- E.S.T
- ATLETCO PETROLIAS
- AL HILAL
- EPERENCE TUNIS
- AL AHLY
- CR BELOUUIZAD
- YANGA
- MEDEAMA FC
Wamtafute pastor Mashimo atawavusha kwa dua ila sadaka ni muhimu.Ally Kamwe alisema wazidishe dua
Belouizdad ni timu ya Algeria... Hua inafanya vizuri kwenye michuano ya CAF japo sina kumbukumbu kama ishawahi kuchukua kombe...Mkuu nipe profile ya Belouizdad
Hawa lazima tuwatoe bikira mchana kweupe bloangu,🤣🤣🤣Natamani Simba tukutane na Jwanang..tuna kisasi nao
Mbumbumbu wengi wana ubongo wa kuku. Dakika 0 tu wameshasahau.sisi tushawahi shinda mechi Algeria na Tunisia, yani Kwa kifupi huwa tunashinda popote.
November siyo mbali,uzuri wote tunacheza na Al Ahyl tuanzie hapo kwanzaUtaenda Robo fainali bila kushinda?
Hii sio mtoano kusema utavuka kwa faida ya goli la ugenini hii ni level ya kukusanya points