CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Tunashukuru sana kwa kukiri kuwa kundi la Yanga ni gumu, sasa Yanga ikifuzu msije na lugha nyingine
Nashukuru wote wamekili kuwa kundi letu ni gumu siyo tuanze kushinda waanze oooh kibonde
 
Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.

Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.

Kaa hapa kupata updates zaidi.

Updates

Makundi ya Shirikisho

CAF CL
  1. USMA
  2. FUTURE
  3. SUPERSPORT
  4. Al HILAL
Group B
  1. ZAMALEK
  2. SaGRADA
  3. S.O.AR (GUI)
  4. ABU SALIM
Group C
  1. RIVERS UNITED
  2. CLUB AFRICAIN
  3. DREAMS FC
  4. APC LOBITO
Group D
  1. RS BERKANE
  2. DIABLES NOIRS (CGO)
  3. STADE MALIEN
  4. SEKHUKHUNE UNITED
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW

GROUP A
  1. MAMELODY
  2. PYRAMIDS
  3. TP MAZEMBE
  4. FC NOUADHIBOU (MTN)
Group B
  1. WYDAD
  2. SIMBA
  3. ASEC MIMOS
  4. JWANENG GALAXY
Group C
  1. E.S.T
  2. ATLETCO PETROLIAS
  3. AL HILAL
  4. EPERENCE TUNIS
Group D
  1. AL AHLY
  2. CR BELOUUIZAD
  3. YANGA
  4. MEDEAMA FC
Kumekucha
 
Mkuu nipe profile ya Belouizdad
Belouizdad ni timu ya Algeria... Hua inafanya vizuri kwenye michuano ya CAF japo sina kumbukumbu kama ishawahi kuchukua kombe...
Mbabe wao ni Us Alger Yule tuliyempiga kwao Fainali... Kwa sasa yupo nafasi ya Chini kwenye ligi Yao kifupi msimu huu hayuko Moto kama last season ambapo alikua bingwa... tukijichanga vizuri tuna point 4+ kwake...
 
Point 9 nyumbani point 4 ugenini
20231006_163253.jpg
 
Utaenda Robo fainali bila kushinda?

Hii sio mtoano kusema utavuka kwa faida ya goli la ugenini hii ni level ya kukusanya points
November siyo mbali,uzuri wote tunacheza na Al Ahyl tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom