Ni lini Simba Sc iliingia makundi kisha ikashindwa kuendelea..? Simba Sc ilitabiriwa kila mwaka kutopita hii hatua tena ikiwa na team vigogo kwelikweli ila ikapita, leo uje kusema Simba Sc hapiti kwenye kundi uji namna hii..?Kama ilivyotabiriwa na wengi! Naona safari ya Mikia Fc kushika mkia kwenye kundi lao, imewadia! Hakuna pa kutokea msimu huu. Na tusisikie tena zile kelele zenu za kumkataa kocha.
Naiscreenshot hii replyGroup D Yanga atashika mkia
Yanga hamtoi CR belouizdad acha utaniSafari hii group zote ni za moto, sijaona group jepesi. Simba na yanga wakikaza wote wanatoboa hadi robo.
Kimpira ndio kundi nzuri ukiweka mkakati wa kupiga yeyote yule kwenye home ground umetobowa, hapa zinahitajika hesabu tu.Kama Yanga tutapasua makundi, basi fainali inatuhusu mwaka huu.
Kwaupande wangu kundi D ndio kundi la kifo.
Mungu ijaalie Yanga, [emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169][emoji172][emoji169]
Kumbe mnajijua mtakwa kwenye robo,aahaaaaaaNi lini Simba Sc iliingia makundi kisha ikashindwa kuendelea..? Simba Sc ilitabiriwa kila mwaka kutopita hii hatua tena ikiwa na team vigogo kwelikweli ila ikapita, leo uje kusema Simba Sc hapiti kwenye kundi uji namna hii..?
Simba Sc atakwama kwenye robo huko, sio hii hatua.
Kasema nani?Kuna uwezekano yanga Africa akaondoka na point 2 tu .
Naiscreenshot hii replyYanga hamtoi CR belouizdad acha utani
Club Africain ni team gani kwenye medani za soka la Africa kwa kipindi hiki.? Huko Tunisia, team ni Esperence tu.sisi tushawahi shinda mechi Algeria na Tunisia, yani Kwa kifupi huwa tunashinda popote.
Leta na ya Simba ahaaaaaa Asante mkuu Kwa ubuyu huuuUkiangalia hapa je unaona kuliwahi tokea matokeo ya mtu kupigwa 5-0? [emoji1787]View attachment 2773639
Huyu alishatoka Wydad.Mimi nasubiri huu mkung'utana kati ya Robertihno vs. Van der Broek
Al-ahalyYanga Wamekwishaaaaa
Tuhesabu siku, Kwan cku hazigandiNaiscreenshot hii reply
Na akimtoa je?Yanga hamtoi CR belouizdad acha utani
Elewa kwamba mechi za makundi hazichezwi kama zile za mtoano.Jifunze kumuheshim mpinzani,huyo huyo aikupiga tatu kwa Mkapa.
Nishashinda kweny ardhi ya Waarabu mara mbili, ikiwemo USM Algers ambaye alimpiga Al Ahly kwenye mechi ya bingwa wa shirikiso na championship.
Tusiongee sana tukutane uwanjani.
Em angalia hapa kwanza, we unaona kuna matokeo ya mtu kupigwa 5-0 apo? [emoji16]Club Africain ni team gani kwenye medani za soka la Africa kwa kipindi hiki.? Huko Tunisia, team ni Esperence tu.
Naiona Robo Fainali kwa timu zetu zote mbili.Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi.
Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi.
Kaa hapa kupata updates zaidi.
Updates
Makundi ya Shirikisho
CAF CL
Group B
- USMA
- FUTURE
- SUPERSPORT
- Al HILAL
Group C
- ZAMALEK
- SaGRADA
- S.O.AR (GUI)
- ABU SALIM
Group D
- RIVERS UNITED
- CLUB AFRICAIN
- DREAMS FC
- APC LOBITO
CAF CHAMPION LEAGUE DRAW
- RS BERKANE
- DIABLES NOIRS (CGO)
- STADE MALIEN
- SEKHUKHUNE UNITED
GROUP A
Group B
- MAMELODY
- PYRAMIDS
- TP MAZEMBE
- FC NOUADHIBOU (MTN)
Group C
- WYDAD
- SIMBA
- ASEC MIMOS
- JWANENG GALAXY
Group D
- E.S.T
- ATLETCO PETROLIAS
- AL HILAL
- EPERENCE TUNIS
- AL AHLY
- CR BELOUUIZAD
- YANGA
- MEDEAMA FC
Angalia hapa wewe zuzuKila nikikumbuka Simba anapigwa na Raja alafu utopolo anakuja kumfunga kibonde anayeshuka daraja alafu kelele kibao eti tumeiheshimisha nchi .. pumbavu zenu ngojeni mtiwe adabu kwanza