CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
No November,Oktoba mwezi mzima mpka November katikati itakuwa ni shindano la African League ambalo Simba atalifungua Kwa kucheza na Al Ahyl tarehe 20/10/2023

Makundi ya CAF CL yataanza November 23-25 hapo kati kati
Sure. Thanks kwa clarification.
 
Unatamani kusema Al Ahyl ni mbovu kuliko msimu uliopita,ila unakumbuka kuwa na wewe unaye tarehe 20 mwezi huu,ahaaaaa

Mkuu ulikua unatunanga sana kukutana na Al Ahly haya sasa nawewe umepewa uangaike naye makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mshuka daraja yule.

Alimfunga Al Ahly akiwa amefanya rotation ya kikosi chake alichocheza fainali kwa 90%

Maana yake isingeweza kutamba kwa Al Ahly kama ingekuja na kikosi kile cha washuka daraja ambacho walicheza na nyie.
USM Algers hakufanya rotation......?
 
Mkuu ulikua unatunanga sana kukutana na Al Ahly haya sasa nawewe umepewa uangaike naye makundi [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahaaaa,uzuri anaanza na wewe,

Tutajua nani kidume
 
Uto hatoboi hata akitumia waganga bongo nzima
Mpira ungekuwa unachezwa mdomoni na point zinatolewa basi mngekuwa mshafuzu robo fainali, mpira sio porojo wacha miguu ya wanaume iongee uwanjani na timu iliyojiandaa vizuri ndiyo itafuzu robo fainali na sio ngenga mnazochonga na kujaza saver za jf hapa!
 
Mshuka daraja yule.

Alimfunga Al Ahly akiwa amefanya rotation ya kikosi chake alichocheza fainali kwa 90%

Maana yake isingeweza kutamba kwa Al Ahly kama ingekuja na kikosi kile cha washuka daraja ambacho walicheza na nyie.
Yanga kafungwa na Ihefu full stop, habari za kusema flani hakucheza hazina maana hakuna mtu alizuia wasipangwe so usilete habari za kikosi kufungwa ni kufungwa
 
Back
Top Bottom