Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #401
Kwani wapi nimesema mchezaji fulani hakucheza?Yanga kafungwa na Ihefu full stop, habari za kusema flani hakucheza hazina maana hakuna mtu alizuia wasipangwe so usilete habari za kikosi kufungwa ni kufungwa
Mimi nimetoa sababu ya USM ALGIER kushinda ile mechi ilisababishwa na wachezaji bora waliosajiliwa kwenye dirisha liliopita.
Means isingekuwa rahisi kwa USM Algier kupata matokeo dhidi ya Al Ahly kama angecheza na kikosi kile alichocheza na nyie kwenye fainali