CAF CHAMPION LEAGUE DRAW

GROUP A
  1. MAMELODY
  2. PYRAMIDS
  3. TP MAZEMBE
  4. FC NOUADHIBOU (MTN)
Group B
  1. WYDAD
  2. SIMBA
  3. ASEC MIMOS
  4. JWANENG GALAXY
Group C
  1. E.S.T
  2. ATLETCO PETROLIAS
  3. AL HILAL
  4. EPERENCE TUNIS
Group D
  1. AL AHLY
  2. CR BELOUUIZAD
  3. YANGA
  4. MEDEAMA FC
Hapa yanga ana pointi 6 za bure!! Ataionea medeama FC ndani nje!!
 
Wa mention hao watano maana unabishana mpaka na picha.......?
 
Wewe watano unawaona vipi ,kwenye mechi ya Al Ahly walio anza first eleven ,wachezaji wapya walikuwa wawili hao watano ww umewatoa wapi.
Round ya kwanza kwa Mkapa kikosi kilikuwa hivi.

Round ya pili.

Kikosi hiki.

Mechi na Al Ahly

Yaani tunapigana kamba mpaka kwenye vitu vinavyo onekana.

Au kuna wengine mnawaona hao wachezaji watano ,mimi nawaona wawili ambacho kwenye mpira ni kitu cha kawaida kuna majeruhi, kadi za njano mbili.
 
Naona mikia mnachekelea group na kuona Yanga wamepangwa group gumu Zaidi,kumbukeni kwenye group lenu wote wameshawapasua,huyo Galaxy aliwapasua Kwa Ben, acheni mbwembwe nyingi mpira unachezwa kiwanjani
 
Al Ahly na Belozdad washapita tayari kwenye kundi la Yanga,sasa sijui tuwasidiaje hao wwngine maana watapigwa nje ndani,hilo kundi naona Yanga atakuwa anashindana na huyo mwingine ili kujua nani underdog zaidi kati yao
 
Walikuwa wanaongea sana kwamba club bingwa siyo ishu,haya sasa mmepewa bingwa mwenyewe
 
Reactions: BRN
Al Ahly na Belozdad washapita tayari kwenye kundi la Yanga,sasa sijui tuwasidiaje hao wwngine maana watapigwa nje ndani,hilo kundi naona Yanga atakuwa anashindana na huyo mwingine ili kujua nani underdog zaidi kati yao
Oohhh.... tusubiri muda utatoa majibu.
 
Naona mikia mnachekelea group na kuona Yanga wamepangwa group gumu Zaidi,kumbukeni kwenye group lenu wote wameshawapasua,huyo Galaxy aliwapasua Kwa Ben, acheni mbwembwe nyingi mpira unachezwa kiwanjani
Hawawezi kukuelewa hadi muda ukifika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…