CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

Politics
 
Kuna Guinea tatu. Equitorial Guinea, Guinea Bissau na Guinea kavu. Usiwe mvivu nenda ka-google ujue Baltazary anatoka guinea ipi mshamba wewe ngara23
 
Kuna Guinea tatu. Equitorial Guinea, Guinea Bissau na Guinea kavu. Usiwe mvivu nenda ka-google ujue Baltazary anatoka guinea ipi mshamba wewe ngara23
Mbona unajibu Kwa hasira
 
Engonga ni Equatorial Guinea 🇬🇶 hii ni Guinea 🇬🇳 Conakry
 
Shida inayokera ni siasa tuu..goli la mama linakera sana hospital hakuna dawa...
 
Tatizo timu ya Taifa imeanza kuvalishwa koti la siasa,tayari watanzania wameanza kugawanyika juu ya timu ya Taifa
Viongozi wanafahamu fika,
Mada zilizopo midomoni mwa watanzania soka ndio linaongoza kwa sasa...

Yaani ukikuta assembly ya watu watatu au zaidi wanaojuana au wasiojuana mada inayowaungqnisha ni soka tena la ndani.

sasa ili kupata uungwaji mkono ni lazima wajipenyeze kwny soka.

Sio Taifa stars tu bali hata vilabu karibu vyote ni vya serikali.
 
Mleta mada umeokolewa kwenye kifusi nn? Kichwa hakijatulia,
Hao guinea waambie wasimame tu uwanjani tuwafunge then CAF wakatae tusiende morroco
 
Mleta mada umeokolewa kwenye kifusi nn? Kichwa hakijatulia,
Hao guinea waambie wasimame tu uwanjani tuwafunge then CAF wakatae tusiende morroco
Timu ya kuwafunga mnaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…